Nihifadhi wapi pesa zangu ndani ya mwaka mmoja?

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?

Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha kufungua.
Nimejaribu pia kuhifadhi kwa njia ya simu changamoto ni vipi laini ikipotea?
Maana natumia laini za mchongo.

Kibubu ndiyo siwezi kabisa nina sababu binafsi.
 
Huna hata namba ya NIDA?
 
Tafuta upenyo wowote mwilini hifadhi huko
 
Uongozi wa JamiiiForums hauwezi kuanzisha Umoja fulani watu tukajiunga na tukawa tunahifadhi pesa?
 
Daaah jamaa hauna kitambulisho hata cha mpiga kura??? Noma sana kwakweli
 
Ili mkope msepe?

Inakuwa ni sehemu ya kuweka pesa kwa muda fulani, tet say miezi sita au mwaka,.
Baada ya hapo mnagawana pesa zenu mnapita hivi.
Siyo mambo ya kuweka na kukopa.
Mfano JF wakiweka dau la kuweka 25,000 kwa kila wiki. Hapo unajihakikishia kupata 600k baada ya miezi sita au 1m baada ya mwaka.
Zinaweza kuonekana hela ndogo lakini mganga njaa kama mimi zitanisogeza sehemu.
 
Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?

Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha kufungua.
Nimejaribu pia kuhifadhi kwa njia ya simu changamoto ni vipi laini ikipotea?
Maana natumia laini za mchongo.

Kibubu ndiyo siwezi kabisa nina sababu binafsi.
Njoo uzihifadhi Jamii forum sasa.
 
Kwanza nielezee iyo 5,000/= - 10,000/= unaipata kwa njia ipi alafu nikushauri jinsi ya kuhifadhi. Hutojutia.
 
1.Cheza michezo ya kupeana Kama unao uhakika wa kuingiza hiyo hela Kwa siku

2. ingia kwenye vicoba

3.Jiunge utt Amis ununue hiss ule mafao

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nielezee iyo 5,000/= - 10,000/= unaipata kwa njia ipi alafu nikushauri jinsi ya kuhifadhi. Hutojutia.
5,000/=-10,000/= Sawa na -5,000/= uelewe hesabu kwanza we mubiku😅😅
 
Naipata kwa kufanya kazi za zege!
Mkuu nakushauri fungua account moja ya nmb inaitwa saving account.

haihitaji mambo ya vitambulisho, ni kujaza form tu na kuweka picha.

haina makato ya kila mwezi, pesa ikizidi milioni 5 ndio wanakukata..
 
Nenda Vodacom Makao Makuu uongee nao na niamini hutojutia. Hata kama huna vigezo utawezeshwa.
 
Back
Top Bottom