Huna hata namba ya NIDA?Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?
Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha kufungua.
Nimejaribu pia kuhifadhi kwa njia ya simu changamoto ni vipi laini ikipotea?
Maana natumia laini za mchongo.
Kibubu ndiyo siwezi kabisa nina sababu binafsi.
Tafuta upenyo wowote mwilini hifadhi hukoHabari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?
Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha kufungua.
Nimejaribu pia kuhifadhi kwa njia ya simu changamoto ni vipi laini ikipotea?
Maana natumia laini za mchongo.
Kibubu ndiyo siwezi kabisa nina sababu binafsi.
Jf haichishiTafuta upenyo wowote mwilini hifadhi huko
Ili mkope msepe?Uongozi wa JamiiiForums hauwezi kuanzisha Umoja fulani watu tukajiunga na tukawa tunahifadhi pesa?
Ili mkope msepe?
Njoo uzihifadhi Jamii forum sasa.Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?
Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha kufungua.
Nimejaribu pia kuhifadhi kwa njia ya simu changamoto ni vipi laini ikipotea?
Maana natumia laini za mchongo.
Kibubu ndiyo siwezi kabisa nina sababu binafsi.
Kwanza nielezee iyo 5,000/= - 10,000/= unaipata kwa njia ipi alafu nikushauri jinsi ya kuhifadhi. Hutojutia.Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?
Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha kufungua.
Nimejaribu pia kuhifadhi kwa njia ya simu changamoto ni vipi laini ikipotea?
Maana natumia laini za mchongo.
Kibubu ndiyo siwezi kabisa nina sababu binafsi.
Mkuu,Kijana wa kitanzania kama hauna kati ya vitu vifuatavyo wewe ni ng'ombe wa mayele.
- Namba / kitambulisho cha NIDA
- CARD /Account number ya Bank
- Leseni ya Udereva / Driving Licence.
- Passport board
- Nguvu za Kiume.
5,000/=-10,000/= Sawa na -5,000/= uelewe hesabu kwanza we mubiku😅😅Kwanza nielezee iyo 5,000/= - 10,000/= unaipata kwa njia ipi alafu nikushauri jinsi ya kuhifadhi. Hutojutia.
Mkuu nakushauri fungua account moja ya nmb inaitwa saving account.Naipata kwa kufanya kazi za zege!