Nihifadhi wapi pesa zangu ndani ya mwaka mmoja?

1.Cheza michezo ya kupeana Kama unao uhakika wa kuingiza hiyo hela Kwa siku

2. ingia kwenye vicoba

3.Jiunge utt Amis ununue hiss ule mafao

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Rafiki yangu aliingia kwenye michezo wakawa wanaweka 7000, mwisho wa siku imefika zamu yake hajapewa hela na yeye ndiye alikuwa mtu wa mwisho.

kupelekana huku na kule akaishia kupewa "uroda" na yule mama ili atakase roho yake.
tangia hapo sina hamu.
 
Unaiba dukani kwa nani kwani ili nikusaidie usikamatwe kiurahisi
 
Unaiba dukani kwa nani kwani ili nikusaidie usikamatwe kiurahisi

Siyo kila mtu ni mwizi mkuu,
Nazitafuta kwa nguvu na akili zangu mwenyewe.
Juu pale nimejibu nazipata wapi pesa zangu!
 
Tigopesa kibubu

Ukiwa na NIDA Card unafungua acc chaap sn
Utadeposit ht mara 1 kwa wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…