aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
- Thread starter
- #21
1.Cheza michezo ya kupeana Kama unao uhakika wa kuingiza hiyo hela Kwa siku
2. ingia kwenye vicoba
3.Jiunge utt Amis ununue hiss ule mafao
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Rafiki yangu aliingia kwenye michezo wakawa wanaweka 7000, mwisho wa siku imefika zamu yake hajapewa hela na yeye ndiye alikuwa mtu wa mwisho.
kupelekana huku na kule akaishia kupewa "uroda" na yule mama ili atakase roho yake.
tangia hapo sina hamu.