Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Kutokana na comments za huu Uzi, nimegundua watu wengi sana wapo so negative, yani mtu kutaka kufahamu vitu basic kuhusu gari anayotaka kama consumption ya wese na service, amekuwa hana uwezo wa kuchukua gari hiyo.

Anyway BMW itapendeza ni ndinga nyoko.
 
Basi hapo tunapotofautiana mkuu... Kwenyw gari naangalia interior na safety... Hata tukirud kwenye transit volvo wana vichwa vitam sana sema ndo vile mjeruman alishafanya yake since enzi za Hitler.
 
Gari Kali sana, Ina option ya kutumia umeme tu Na betri yake imefungwa katikati ya gari. Tank lake ni Lita 50 tu
Acha kabisa mkuu... Interior sasa siti zake zipo so glossy na liquid si zimesimikwa tii kama mstimu wa umeme. Na ina safety control ya uhakika... Ukijasahau ukawa res afu kuna gar inakatiza... Fastaa inapunguza speed insatantly.. [emoji593]
 
Basi hapo tunapotofautiana mkuu... Kwenyw gari naangalia interior na safety... Hata tukirud kwenye transit volvo wana vichwa vitam sana sema ndo vile mjeruman alishafanya yake since enzi za Hitler.

Ya mwisho wa siku ni swala la ladha, na ladha kila mtu ana yake, kuna watu wanapenda toyota Lexus na kwamba wanaamini ndiyo bora wengine wanapenda Ford au Renault, lkn cha muhimu ni kwamba hata Volvo wenyewe au Jaguar wanaona BMW kama Standard yao, yaani wanatengeneza Magari yao kushindana na BMW lkn BMW hatengenezi kushindana na Volvo au Jaguar bali atashindana na Mercedes Benz au Audi!

Volvo wenyewe hata matangazo yao huuliza, is it better than BMW au can it bit BMW? Lkn BMW hawaulizi can it bit Volvo? Ina maana Volvo au Jaguar wenyewe wanajua kwamba kipimo chao ni BMW lkn kwenye swala la uamuzi ni ladha yako tu!
 
Hivi ni Mimi ndo sijaelewa iyo heading au typing error ...chukia BM mama
 
Acha kabisa mkuu... Interior sasa siti zake zipo so glossy na liquid si zimesimikwa tii kama mstimu wa umeme. Na ina safety control ya uhakika... Ukijasahau ukawa res afu kuna gar inakatiza... Fastaa inapunguza speed insatantly.. [emoji593]
Whaooh
 
Wachawi tu hao
 
Ukitaka utukanwe humu JF zungumzia vitu vizuri, magari mazuri etc sijui hata inawauma nini watu! Ila ukitaka upate support na likes nyingi andika kuwa una shida sana hujala tangu jana!
 
Ukitaka utukanwe humu JF zungumzia vitu vizuri, magari mazuri etc sijui hata inawauma nini watu! Ila ukitaka upate support na likes nyingi andika kuwa una shida sana hujala tangu jana!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa usawa huu wa magufuli una pesa kweli au unazingumzia magari ya kwenye game.
 
Hatin on a niqqa that is the weak emotion......
 
Ukitaka utukanwe humu JF zungumzia vitu vizuri, magari mazuri etc sijui hata inawauma nini watu! Ila ukitaka upate support na likes nyingi andika kuwa una shida sana hujala tangu jana!
fact!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…