wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,460
- 2,278
Kwa kutopeteza wakati nina mke ila kuna makando makando anayaongea .1.tuna mtoto mmoja ila lawama ni kuwa yeye alikuwa hayuko tayari kuwa na mtoto ivyo nimemuharibia maisha yake .2. Mara anasema tafuta mwanamke mwingine yeye hatak kusex sana kwa mwezi anasema ni mara nne au asifanye hajisikii kabisa .3.kubwa zaid anasema anaona kinyaa tendo la kujamiiana na mbegu zangu zinanuka Hivyo tatizo langu nami siwez kulala jiran na mwanamke sija sex labda niwe ninaumwa au awe yupo p. ninaomba ushauri ili zakuambiwa nichanganye na zangu ili nijue hatua kali zaidi sio namuua au kumpiga maana hata kuja kuniona katika maisha yake ! NB (WANDUGU MUWE NA HURUMA MATESO YANGU SIO YA KWAKO TUPENDANE)