du sasa kwa sisi ambao hamu muda wote nahisi doctor anahitajika maana ni tatizoKwa experienxe yangu kuhusu hamu ya tendo la ndoa wapo wanawake wengne hawana hisia kabsa mm binafs kuna mmoja huyo nilimtoa bikira lkn alinambia n vile ananipenda lakn hna hamu ya kufanya mapenzi na mpk sas yupo mwanza anasomea u sister
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke atakuwa amechukizwa na jambo flani kutoka kwa mwenzie na hajawai msamehe zaidi ni suala la kuchepuka, ukikuta mwanamke mwaminifu afu mwanaume akacheat, mapenzi aliyonayo mwanamke huyeyuka kabisaaa ata hisia za mapenzi haziji[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo mwanamke anawazimu si bure.
Muache aende kwenye avichukiavyo na avitakavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewai kuwa na michepuko na akagundua??maybe ila mimi sina tatizo katika x kwa kuwa mie ni mwanaume wa mkoani mambo ya nguvu full hapa ila mimi niliwah kumuuliza akasema hajisikii hana hamu
imepunguaje be specific toa neno how kivipHata sijui mkuu ila siku hizi imepungua hiyo hali hadi najiona napenda sex kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayai told her bila huyu mtoto tungeachana muda mrefu
Hongera kwa utaalamu.. [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ningetemana naye kwa ujeuri asingekuja kusahau maishani mwake.
Mimi ni mtaalamu wa kuwaacha hawa viumbe kijeuri
Ukijiridhisha ndipo unachukua uamuzi siku na SAA ambayo hakutarajiakumbuka kuwa lazima uwe na evidence ili roho iwe njema usikumbwe na karma
Kwa kutopeteza wakati nina mke ila kuna makando makando anayaongea .1.tuna mtoto mmoja ila lawama ni kuwa yeye alikuwa hayuko tayari kuwa na mtoto ivyo nimemuharibia maisha yake .2. Mara anasema tafuta mwanamke mwingine yeye hatak kusex sana kwa mwezi anasema ni mara nne au asifanye hajisikii kabisa .3.kubwa zaid anasema anaona kinyaa tendo la kujamiiana na mbegu zangu zinanuka Hivyo tatizo langu nami siwez kulala jiran na mwanamke sija sex labda niwe ninaumwa au awe yupo p. ninaomba ushauri ili zakuambiwa nichanganye na zangu ili nijue hatua kali zaidi sio namuua au kumpiga maana hata kuja kuniona katika maisha yake ! NB (WANDUGU MUWE NA HURUMA MATESO YANGU SIO YA KWAKO TUPENDANE)
1. Hakutaka kuzaa, umemuharibia maisha....
2. Hapendi kujamiiana, lakini zaidi na wewe kwa sababu anadai zinanuka
3. Anakuruhusu Uoe mwingine.....
BADO TU UNAOMBA USHAURI?
Jamaa anataka kumlazimisha kunyw maji.1. Hakutaka kuzaa, umemuharibia maisha....
2. Hapendi kujamiiana, lakini zaidi na wewe kwa sababu anadai zinanuka
3. Anakuruhusu Uoe mwingine.....
BADO TU UNAOMBA USHAURI?
Pole ndugu ni nini shida kwenye INI?Daah wanaume kweli tunapungua baada ya Mimi nikishaondoka na matatizo ya INI ndo idadi itazidi kupungua
Kweli unaomba ushauri kwenye hilo ingetakiwa utuulize namna ya kumchoma mtu na magunia bila kugundulika
Sent using Jamii Forums mobile app