Kaka, mimi navyoeleewa ..kama mtu anakupenda hata harufu ya kwapa lako atakuwa akilihisi sehemu ana sisimuka..., lakin kama mtu ameanza kupoteza upendo kwako atakuwa mtu mzito na mwenye vijisababu visivyokuwa na mpango.
so huyo mamaa ni kwamba ameanza kupoteza upendo (au ashapoteza)..ndio maana kila kitu kwako anakiona tena kama sio cha kawaida.
Sex is love and love is sex, so kama na ameanza kukubania sex angali mna nzao moja tu...haaah! bratha, huyo mwanamke yupo na wewe basi tu na anasubiria sababu kuu ya kutoka kwako.
Fanya maamuz b4 its too late kaka, tafuta mamaa mwingine ambae hataona kinyaa manii zako.
Sent using
Jamii Forums mobile app