kweli hapa nimeinama soon atajua mimi ni nan.We ishi maisha yako temana nae wanawake wapo wengi sana
Talking from experience and now I am living such a happiest life ever
Sent using Jamii Forums mobile app
kuniua hawez kwa kuwa najiamini katika nuruAtakuua huyo ukimuendekeza ili awe huru.
Weka mbali kabisa na fikiria maisha mapya.
Sent using Jamii Forums mobile app