Niishi kwa akili ipi kivipi na mwanamke huyu

Hapo pagumu kaka,,lakini naona kama ni swala la kiimani hivi, mke wa ndoa hata kama mnaishi tu hamjafunga ndoa anasema hivo?, anaweza kuwa ana mtu mwingine ambaye yey anamtegemea kuishi nae labda kwako ilitokea bahati mbaya tu,,kaa tulia,,mwambie anavokuambia uuende kwa mwanamke mwingine,na yey anaenda mwa mwanaume mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na mpango wangu ni namtafuta ambaye hajasoma kabisa au nitakuwa chapa ilale
 
Muwekee vikwazo vya kiuchumi (economic sanctions).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Truth be told

huyo mwanamke hakupendi.

Take it to the head
 
Mkuu.

Wapo wanawake wasio feel sex kabisa, ninae mmoja niliml a lakini alisema hapendi sex nikajua kaongo... Saivi kapo Karatu malezi ya Usister.

Kama shida nihiyo basi ujue wapo
 

i will hit at wright moment
 
kweli ila mimi bang nimevuta sana mambo yote naonekana boya ila napanga kuondoka kimya kimya nitabeba vyeti tu nguo kila kitu naacha hata ndugu hawatojua nipo wap kwa miaka kama kumi zaid
 
Anasubiri atamkiwe direct😀😀
 
kweli ila mimi bang nimevuta sana mambo yote naonekana boya ila napanga kuondoka kimya kimya nitabeba vyeti tu nguo kila kitu naacha hata ndugu hawatojua nipo wap kwa miaka kama kumi zaid
Kuishi na mtu asiyekupenda ni sumu inayoua taratibu,!utajikuta unatoka kwenye reli na kiuachukia maisha na kujichukia, mwisho hutaona thamani ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…