Niishi kwa akili ipi kivipi na mwanamke huyu

Kuishi na mtu asiyekupenda ni sumu inayoua taratibu,!utajikuta unatoka kwenye reli na kiuachukia maisha na kujichukia, mwisho hutaona thamani ya maisha.
kuna wimbo hapa unagusa hisia upo azam .utv ..... unasema nalia mama oh nisema nin ooh nasikitika oh nifanye nin by orchestra safari sound unaitwa sababu ya nin
 
Mkuu, Mimi zamani nilikuwa sipendi sex kabisa, tena nilikuwa naona kinyaa na saa ingine natapika baada ya tendo, nilikuwa sitaki mate yani hata kiss tu lazima niteme mate, ilikuwa nikifanya naoga saa zima huku nalia na harufu ya mwanamme inanuka wiki nzima, kwa kweli sikuwa napenda sex kabisa, nimechukua muda sana kuzoea ndo maana hata sasa hivi siwezi kuwa na wanaume wa nje, Nina kinyaa sana[emoji848], Ila napenda kusex na mwanamme wangu tu na nafurahia na sioni kinyaa siku hizi kwake.
Nakushauri usimwache mkuu,
Ninaamini ipo siku atabadilika jitahidi umvumilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani mambo kama haya yaliwa yanamalizwa na wazee pamoja na mashangazi.

Siku hizi yanaletwa mitandaoni tu.
 
oooh! kumbe tatizo ilo lipo kwa wanawake? kwa iyo solution yake kwako ilikuwa ipi je ni tatizo la kisaikolojia au kitabibu au kiimani zaidi
 
Zamani mambo kama haya yaliwa yanamalizwa na wazee pamoja na mashangazi.

Siku hizi yanaletwa mitandaoni tu.
teknolojia inaturahisishia katika ushauri nasaha
 
Aisee
kumbe after "honeymoon phase" kunaeza kuwa ivo!...
Good luck kwa uamuz utaochukua mĆ­ amigo
 
1. Mpige mtoto mwingine fasta. Kama inawezekana.
2. Kama ungekuwa ni muislam ungempandisha cheo tu ila uwe na uwezo wa kuwahudumia mahitaji ya kimwili na chakula pia.
3. Tulia wala maneno yake yasikupe pressure ukahama reli.

Haya mambo nimeyaona kwa jamaa mmoja, wakati nasoma. Mwanamke alitulia mwenyewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ameshakujibu siku nyingi cha kufanya!?1.kasema kazaa na wewe bahati mbaya. 2 kasema shahawa zako zinanuka, means kuna anazopenda zisizonuka 3. Kasema Tafuta mwanamke mwingi! Bado unataka ushauri gani tena?
 
Kwa experienxe yangu kuhusu hamu ya tendo la ndoa wapo wanawake wengne hawana hisia kabsa mm binafs kuna mmoja huyo nilimtoa bikira lkn alinambia n vile ananipenda lakn hna hamu ya kufanya mapenzi na mpk sas yupo mwanza anasomea u sister

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…