Niishi kwa akili ipi kivipi na mwanamke huyu

Sijajua tatizo ni nini ila miaka hii kuna mabinti wenye tabia za ajabu na za kibinafsi sana. Sasa mtu umeshazaa nae halafu unaanza kumpangia masharti ya namna ya kuishi na wewe.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.

Wapo wanawake wasio feel sex kabisa, ninae mmoja niliml a lakini alisema hapendi sex nikajua kaongo... Saivi kapo Karatu malezi ya Usister.

Kama shida nihiyo basi ujue wapo
Huwa wanakera. Matumizi mabaya ya maamuzi binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani mambo kama haya yaliwa yanamalizwa na wazee pamoja na mashangazi.

Siku hizi yanaletwa mitandaoni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inasikitisha sana mzee. Wazee wamewaachia vijana msala. Hawa wazazi wa miaka hii ukieapelekea kesi wanakwambia kijana kama binti kakushinda mrudishe tu, yaani wanazidi kuwajaza ujinga mabinti zao, ila hasara wanakuja vuna wao mabinti wakianza kuota mvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah
Nyie ni wakatili sana kama yote haya unamwambia mtoto wa mwanamke mwenzako [emoji29][emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye amesha pata wake, na wewe amekwambianutafute mwingine, unasubiri nini, hapo ukijifanya mvumilivu sana utashangaa siku anakwambia kula ukimaliza funika, hakuna mapenzi tena hapo,

NB, je mfuko wako uko vizuri man, maana haya watu wakiona man mfuki wake umepwaya basi na hamu ya penzi inaisha au anajipatia mwenye mfuko uliotuna
 
Huyo mchukulie kma unatembea na changu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kashapata kamchepuko kanampeleka peleka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…