Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Muendee kwa sangoma
Hello wana jf, nimetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vp maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu mlioolewa au ambao mko na mahusiano na divorced man naombeni mawazo yenu,
Au pia kama kuna wanaume mliodivorce humu mnaweza share experince ya nini mnategemea kutoka kwa new spouses, mnataka ,muwe treated vp?