Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha Unampa papuchi 24/7 na unajituma haswa ..ili usikose Number kwenye kikosi...Hello wana JF,
Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu mlioolewa au ambao mko na mahusiano na divorced man naombeni mawazo yenu,
Au pia kama kuna wanaume mliodivorce humu mnaweza share experince ya nini mnategemea kutoka kwa new spouses, mnataka ,muwe treated vp?
Ndivo alivokudanganya??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana sijawahi muomba, ila sidhani kama ni muda sahihi kumuomba kwa sasa maana bado ana adjust na maisha baadda ya divorce since aliacha almost kila kitu kwa past mke
Yaani ni pasua kichwa Hao.ujue nini ynakuwa na hamu ya ndoa mwenzako Ametoka hataki hata kuisikia tena Sema papuchi yako anaitaka.yaani utateseka hatare.bora alofiwa na mke.at least yeye ndoa alikuwa anaitaka Sema tu mapenzi ya Mungu' huyu unaweza muenjoy kidogo
Wanaume divorced halafu awe broke hata umpende vipi hailipi.used used tu yaani
hapana sijawahi muomba, ila sidhani kama ni muda sahihi kumuomba kwa sasa maana bado ana adjust na maisha baadda ya divorce since aliacha almost kila kitu kwa past mke
Sio kweli, mm ni mhanga na nilioa tena, hapa nina almost 10 yrs na maisha yanekwenda smooth.Yaani ni pasua kichwa Hao.ujue nini ynakuwa na hamu ya ndoa mwenzako Ametoka hataki hata kuisikia tena Sema papuchi yako anaitaka.yaani utateseka hatare.bora alofiwa na mke.at least yeye ndoa alikuwa anaitaka Sema tu mapenzi ya Mungu' huyu unaweza muenjoy kidogo
Wanaume divorced halafu awe broke hata umpende vipi hailipi.used used tu yaani
Wana MDA gan tangu wameachana?Mkewe hajafa ila tu wameachana miaka kadhaa nyuma
Niache bna hela kitu gani??Umezunguuuuuuuka weeee,,, kumbe point yako ni PESA tu..
So divorced mwenye hizo sifa akiwa na pesa analipa?
Ila mimi hujawahi nidekeza kama mtoto. 🙆Inategemea na aina ya divorce na ilikuaje yeye ameumiza au ameumizwa, alitoa talaka kwa hiari au kwa lazima, aliacha akiwa anapenda au vipi
Kama aliachwa basi jiandae kudeal na kisirani chake, kama aliumizwa basi jitahidi usiwe sababu ya kumkumbushia machungu ya alikotoka na pia usimpe sababu ya kuona wanawake wote sawa,
Ikiwa ametoka kwenye ndoa ambayo mke ndo likua kivuruge basi kwa asilimia 💯 kuna vitu amevikosa na amevimiss, treat him well, mdekeze kama mtoto trust me utaenjoy sana 😋😋
Miaka minne since devorce!,bado hataki kufanya commitment,huyu atakuwa aliachana na mkewe ingali anampenda so anashindwa kumove on...Muangalie kwa jicho la tatu huyu huwenda wewe sio choice yake,siku utashangaa anaoa mtu mwingine.
Hapo lazima uwe a step ahead.
Ukute yupo kwenye rebound tu ya mapenzi hakuhitaji ila hataki kuwa alone, alishazoea kamlani ya ndoa.
Sasa jishaue beba na kamimba juu. Na hajakupa muongozo huo. Atakufurahisha na sisi kina Karucee tutakuzomea.
Au umemind?Kama umemind njoo tupigane nina mood ya kuparuana kabla ya Ramadhan kuanza. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] silly me.
Pia usiwe unamuomba omba hela; ata kama anazo unatakiwa umuonyeshe, we ni mwanamke unayejitegemea; maana yake uko full package (unajiweza kimapenzi na fedha), usimfanye kuwa ATMNa ndo navyoona maana sio kwa visirani na kununa huku kwa kila mara [emoji2304] , hapo hatujafika ndoani [emoji28]
Dont mind me. Sometimes I like to be just silly.Kwa hiyo mtanizomea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijamind bwana, thanks kwa kahint ila sitegemei kubeba mimba bado nausoma mchezo [emoji23][emoji28] isije ikala kwangu