Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

Muendee kwa sangoma
 
Umekaa ukaongea naye hizo hisia zako?

Wabongo wengi tunapenda sana kusikiliza ushauri toka kwa watu baki...

Yes, nimeongea naye several times na sometimes anakuwa sawa tunaenda vizuri ila sasa kipengele cha mood swings anaweza amka siku anabadilika kuwa hayupo ready kwa commitment, then the other day tuko sawa

Sasa sijui bado ndo mchakato wa kupona au vipi
 
Kusema kwamba nijitoe mapema au [emoji13][emoji13]
Hapana we mpigie shifting cultivation... bidilisha bilisha mazao (sio Kila siku chumbani kilekile na style ileile) Ili kulipa ardhi (penzi) rutuba mbalimbali siku mnatoka hata beach ,hotel , mbugani, hata anaoga unaifuata hukohuko imoooo ..yupo sebuleni umo ..... Hatotumia bush fallowing .... hahahaaaaaa. Nafikri umenielewa kiutu uzima sanaaa
 
Unapoteza muda wako
 
uking'atwa na nyoka polini hata siku ukiona jani linatikisika lazima ushtuke,

1. Jitahidi ugundue shida ilikua nn mpaka wakaachana maybe kuna vitu unafanya vinafanana na vya ex wake inafanya anakua off mood
2. Check mawasiliano yake yawezekana bado anawasiliana na ex wake na ndo anamuweka on & off mood
3. Ukitaka kumpenda mtu mpende tuu ila jiandae pia kishi bila yy at any tym
 

Asantee mkuu, ila hana watoto
 
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Anakupa hela!?!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana sijawahi muomba, ila sidhani kama ni muda sahihi kumuomba kwa sasa maana bado ana adjust na maisha baadda ya divorce since aliacha almost kila kitu kwa past mke
 

Kama mmeshaongea na hakuna kilichobadilika basi amini kuwa hata sisi watu baki tukishauri vyovyote vile, hakuna kitachobadilika...

Ushauri, mpe muda au kubali matokeo na uridhike tu vile hali ilivyo...
 
Bila kusahau siku mojamoja unampitisha round about ya kigogo mkiwa mnaelekea kariakoo sio kila siku mnapitia Morogoro road.
Mzoeshe njia mbalimbali ili alijue jiji kwa haraka zaidi.
 
Punguza kiherehere halafu usimnyime ndogo hatakaa akuache
 
Kumbe ulikuja tambua kuwa tatizo ni kuwa na mbususu moja tuu🤣🤣🤣🤣
 
Umenena Vyema.
 
Miaka minne since devorce!,bado hataki kufanya commitment,huyu atakuwa aliachana na mkewe ingali anampenda so anashindwa kumove on...Muangalie kwa jicho la tatu huyu huwenda wewe sio choice yake,siku utashangaa anaoa mtu mwingine.
 
Tumia ushauri huu ukiongeza na sababu za kumpenda utaweza kuishi naye
 
Mmhh! Mbona kama hayupo serious? Jipe muda kwanza isije kuwa kakurupukia kwako kujipunguzia mastress ya kupeana talaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…