Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

Pole sana...
Katikati ya game anamkumbuka ex wife...
 
Hakikisha Unampa papuchi 24/7 na unajituma haswa ..ili usikose Number kwenye kikosi...
Bado anaendelea na mchakato....na hiyo ndo ticket ya kwenda Quatar
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana sijawahi muomba, ila sidhani kama ni muda sahihi kumuomba kwa sasa maana bado ana adjust na maisha baadda ya divorce since aliacha almost kila kitu kwa past mke
Ndivo alivokudanganya??
 

Umezunguuuuuuuka weeee,,, kumbe point yako ni PESA tu..

So divorced mwenye hizo sifa akiwa na pesa analipa?
 
hapana sijawahi muomba, ila sidhani kama ni muda sahihi kumuomba kwa sasa maana bado ana adjust na maisha baadda ya divorce since aliacha almost kila kitu kwa past mke

Na usimuombe Bint.

Ukimuomba atakuacha
 
Sio kweli, mm ni mhanga na nilioa tena, hapa nina almost 10 yrs na maisha yanekwenda smooth.
 
Kama aliachwa kisirani chake sio cha nchi hii. Aliefiwa ndio option nzuri, ila kama mke wake ndio alikuwa mke haswa pia jiandae.

Lakini kama kuna watoto pia jiandae kisaikolojia maana hapo hutodili na visirani vya baba tu, bali na vya watoto pia.

All in all, we all need true love.
 
Usije ukamkorofisha kipindi hiki...Utaachwa bila Talaka.
 
Hapo lazima uwe a step ahead.

Ukute yupo kwenye rebound tu ya mapenzi hakuhitaji ila hataki kuwa alone, alishazoea kamlani ya ndoa.

Sasa jishaue beba na kamimba juu. Na hajakupa muongozo huo. Atakufurahisha na sisi kina Karucee tutakuzomea.

Au umemind?Kama umemind njoo tupigane nina mood ya kuparuana kabla ya Ramadhan kuanza. 😁😁😁🀣🀣🀣🀣 silly me.
 
Ila mimi hujawahi nidekeza kama mtoto. πŸ™†
 
Miaka minne since devorce!,bado hataki kufanya commitment,huyu atakuwa aliachana na mkewe ingali anampenda so anashindwa kumove on...Muangalie kwa jicho la tatu huyu huwenda wewe sio choice yake,siku utashangaa anaoa mtu mwingine.

Na kweli ntakaa kwa kutulia nifanye maamuzi sahihi, asante kwa hint
 

Kwa hiyo mtanizomea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijamind bwana, thanks kwa kahint ila sitegemei kubeba mimba bado nausoma mchezo [emoji23][emoji28] isije ikala kwangu
 
Na ndo navyoona maana sio kwa visirani na kununa huku kwa kila mara [emoji2304] , hapo hatujafika ndoani [emoji28]
Pia usiwe unamuomba omba hela; ata kama anazo unatakiwa umuonyeshe, we ni mwanamke unayejitegemea; maana yake uko full package (unajiweza kimapenzi na fedha), usimfanye kuwa ATM
 
Kwa hiyo mtanizomea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijamind bwana, thanks kwa kahint ila sitegemei kubeba mimba bado nausoma mchezo [emoji23][emoji28] isije ikala kwangu
Dont mind me. Sometimes I like to be just silly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…