NIIWEKEZE KATIKA NAMNA GANI IONGEZEKE HII PESA?

NIIWEKEZE KATIKA NAMNA GANI IONGEZEKE HII PESA?

RSM Dominik

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
207
Reaction score
561
Wakuu mimi kama kijana ninayechipukia katika kuelekea njia ya mafanikio nimejibana bana account yangu ya mpesa ina laki tano, kama mjuavyo nikisema niidumbukize yoote katika biashara ni kama kuBET japo naweza kuotea pia, kwa sasa sijapenda kuanza biashara moja kwa moja hivyo naomba mnipe idea, niiweke wapi hii pesa walau iwe inaongezeka taratibu taratibu kama ni benk kwa styl ya fixed account je ni benk gani nzuri? Na kama sio benk niiweke wapi? Nataka hii pesa ikae mahali itaongezeka huku nikiendelea kutafuta zaidi zingine kulikoni nilivyoisave huku kwenye mpesa ambako mwaka unaisha hakuna ongezeko lolote.

karibuni kwa mchango
 

Attachments

  • FB_IMG_17791763306665173.jpg
    FB_IMG_17791763306665173.jpg
    101 KB · Views: 8
Back
Top Bottom