Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
mkuu unalia kuwa znapgwa kaunta au unalizwa na mengine nijuze mkuu nichukue tahadharinimelia sana 😭😭😭
pole sana mkuu
machoMtandao wa wadangaji
Achana naonikae
macho
Mkuu kama wewe ni mweusi tii basi snapchat inakufaa sanaMiezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake
Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......
Huyo fundi kila kona analialia hovyo usimchukulie siriazmkuu unalia kuwa znapgwa kaunta au unalizwa na mengine nijuze mkuu nichukue tahadhari
mkuu mi situmii hyo ila mchumba yuko busy sna na huo mtandao ndio mana nakuwa na wasiwasi nae isijekuwa anachepukia hukoMkuu kama wewe ni mweusi tii basi snapchat inakufaa sana
nashukuru mkuu ntakuwa makini nae sasaOkay iko hivi, leaving videos. Kama unawasiwasi watu wanakurupua, huo mtandao ndio easy way ya kutext na mtu bila watu kujua hata yeye asibaki na historia. No screenshot, text ziko deleted within minutes tu baada ya kuchat. Mtu akiscreenshot lazma ujue so wengi hawafanyi hivo. Ni rahisi sana kuchepuka huko. Wanawake wengi sana saiv wanatumia snapchat messaging.
Mwende wa kumwaga maji.. waaaahMiezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake
Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......