Nijuzeni kuhusu snapchart

Nijuzeni kuhusu snapchart

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Miezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake
Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......
 
Mkuu kama wewe ni mweusi tii basi snapchat inakufaa sana
 
Okay iko hivi, leaving videos. Kama unawasiwasi watu wanakurupua, huo mtandao ndio easy way ya kutext na mtu bila watu kujua hata yeye asibaki na historia. No screenshot, text ziko deleted within minutes tu baada ya kuchat. Mtu akiscreenshot lazma ujue so wengi hawafanyi hivo. Ni rahisi sana kuchepuka huko. Wanawake wengi sana saiv wanatumia snapchat messaging.
 
nashukuru mkuu ntakuwa makini nae sasa
 
Miezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake
Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......
Mwende wa kumwaga maji.. waaaah
 
Back
Top Bottom