Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Miezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake
Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......