mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Saizi kidogo napumua hata nikiona simu yake naichukulia poa tu hata asiponipigia mwez mzima hata sistuki ila zamani dah kila muda bebi upo wap bebi unafanya nini?
Na nikimuona na mwanaume naumia sana ila saizi kwakweli dada zangu wanawake nawaona ni vitu vya kawaida sana hata upite na makalio yenye mvuto kiasi gani nikifungua tu waleti yangu nikaona nyekundu nyekundu za kuzidi na risit ya bank inasoma asee hata muda wa kuwaza mapenz nakosa.
Wanaume ukiwa na miladi ya hela mapenzi sio ishu sana so mjifunze kuwekeza hivyo vi mia mia vyenu ili kuepuka na maumivu ya moyo hawa dada zetu wanatupenda sana tukiwa na hela so dunia imebadilika mwezen enzi zangu nilinusulika kunywa sumu kisa mwanamke
Ila saiv yeye ananusulika kisa mimi afu sina time heshima ya mwanaume pesa heshima ya mwanamke ndoa mume mwanamke hata awe na buggat mia 500 usipokuwa na mume utaonekana mdangaji.
Asanteni kwa kusoma