Nikajua bila yeye siwezi kumbe kukosa hela kuna mfanya mwanaume kupenda kupitiliza

Mimi niseme nini zaidi ndugu mchangia mada, unapata wakufanana nae. That's a poor life choice on your part my dear halafu unaleta makasiriko mtandaoni. Ulishikiwa kisu kumuoa huyo mkeo? Mnaoa watu wenye tabia za ovyo halafu mnakuja kulia lia kuachwa na uzinzi
Sijajiongelea specific maana siko hapa kuandika maisha yangu.
Hii ni standard applied to all.
Wanawake wwnyewe nyie ambao 80% ni malaya mliojificha kwenye ndoa.

So hapo nimeongea standard perspective ilioko mtaani kwenye jamii kila siku tunaona na kushuhudia. Na visa vimejaa humu majukwaan tele.

Pole hizo chukua wewe mdogo angu
 
Karibu ndugu
 
Ni hivi mapenzi ya kweli unayapata ukiwa huna kitu!
Ukishakuwa na hela mchezo unabadika inakuwa biashara, sasa hapo kwenye biashara huwezi kukubali kupata hasara za kizembe ndo maana unaanza kuchukulia vitu poa maana anayefaidika zaidi ni yeye!

Kwahiyo inafika muda unaanza kuona kukubaliwa ni faida ila kukataliwa ni faida zaidi maana hela zako zinapona!
 
Saizi kidogo napumua hata nikiona simu yake naichukulia poa tu hata asiponipigia mwez mzima hata sistuki ila zamani dah kila muda bebi upo wap bebi unafanya nini?

Na nikimuona na mwanaume naumia sana ila saizi kwakweli dada zangu wanawake nawaona ni vitu vya kawaida sana hata upite na makalio yenye mvuto kiasi gani nikifungua tu waleti yangu nikaona nyekundu nyekundu za kuzidi na risit ya bank inasoma asee hata muda wa kuwaza mapenz nakosa.

Wanaume ukiwa na miladi ya hela mapenzi sio ishu sana so mjifunze kuwekeza hivyo vi mia mia vyenu ili kuepuka na maumivu ya moyo hawa dada zetu wanatupenda sana tukiwa na hela so dunia imebadilika mwezen enzi zangu nilinusulika kunywa sumu kisa mwanamke

Ila saiv yeye ananusulika kisa mimi afu sina time heshima ya mwanaume pesa heshima ya mwanamke ndoa mume mwanamke hata awe na buggat mia 500 usipokuwa na mume utaonekana mdangaji.

Asanteni kwa kusoma
PESA,PESA. BWANA WEWE
 
Kupenda kupita kiasi ni sifa ya Mwanaume maskini.
Love is the only thing a poor man can provide.
 
Wagombanao ndio..... Sogea karibu basi, unakimbia wapi sasa usiku mfupi sana. I'm coming to the light in the right way 😉😉
Ahahahaha... i can tell wewe ni mjuzi na mwenye hekima ya kum adjust mtu.
Bila shaka mheshimiwa huko amekamatika haswaaa
 
Kuna Malaya aliniacha katika kipindi kigumu Sana nmefiwa na dada yangu (pacha) job nikaondolewa totally nikawa broken saivi kunisalimia kwingi Hadi asiponipata kwenye simu anampigia mzee father
 
Ukiwa na pesa mbele ya wanadamu unaonekana ni dhahabu Ile kilo Moja ya dhahabu ikitumbukia kwenye shimo la choo watu watakuchimba wakupate ukiwa hauna pesa mbele ya mwanamke utaonekana ni harufu ya choo ukizipata haraka sana utageuka kuwa manukato unapokuwa kipindi hichi jifunze kusamehe kila mtu aliyekuumiza kipindi hauna kitu pesa zako zitaongezeka na maisha yako yatakuwa marefu sana ukazidi kuwa mwingi katika kutendea wengine matendo mema waswahili wanasema usitumie pesa zako kuwa fimbo
 
bonge moja la ujumbe asanteee
 
mwanamke kwangu ni mradi wa kunizalishia watoto tu hakuna kingine

isingekua watoto nisinge oa

kwamantiki hio sibembelezi kima 😕😕😕😕
 
Saizi kidogo napumua hata nikiona simu yake naichukulia poa tu hata asiponipigia mwez mzima hata sistuki ila zamani dah kila muda bebi upo wap bebi unafanya nini?

Na nikimuona na mwanaume naumia sana ila saizi kwakweli dada zangu wanawake nawaona ni vitu vya kawaida sana hata upite na makalio yenye mvuto kiasi gani nikifungua tu waleti yangu nikaona nyekundu nyekundu za kuzidi na risit ya bank inasoma asee hata muda wa kuwaza mapenz nakosa.

Wanaume ukiwa na miladi ya hela mapenzi sio ishu sana so mjifunze kuwekeza hivyo vi mia mia vyenu ili kuepuka na maumivu ya moyo hawa dada zetu wanatupenda sana tukiwa na hela so dunia imebadilika mwezen enzi zangu nilinusulika kunywa sumu kisa mwanamke

Ila saiv yeye ananusulika kisa mimi afu sina time heshima ya mwanaume pesa heshima ya mwanamke ndoa mume mwanamke hata awe na buggat mia 500 usipokuwa na mume utaonekana mdangaji.

Asanteni kwa kusoma
Naam
 
Back
Top Bottom