Nikajua bila yeye siwezi kumbe kukosa hela kuna mfanya mwanaume kupenda kupitiliza

Sijajiongelea specific maana siko hapa kuandika maisha yangu.
Hii ni standard applied to all.
Wanawake wwnyewe nyie ambao 80% ni malaya mliojificha kwenye ndoa.

So hapo nimeongea standard perspective ilioko mtaani kwenye jamii kila siku tunaona na kushuhudia. Na visa vimejaa humu majukwaan tele.

Pole hizo chukua wewe mdogo angu
 
Karibu ndugu
 
Ni hivi mapenzi ya kweli unayapata ukiwa huna kitu!
Ukishakuwa na hela mchezo unabadika inakuwa biashara, sasa hapo kwenye biashara huwezi kukubali kupata hasara za kizembe ndo maana unaanza kuchukulia vitu poa maana anayefaidika zaidi ni yeye!

Kwahiyo inafika muda unaanza kuona kukubaliwa ni faida ila kukataliwa ni faida zaidi maana hela zako zinapona!
 
PESA,PESA. BWANA WEWE
 
Kupenda kupita kiasi ni sifa ya Mwanaume maskini.
Love is the only thing a poor man can provide.
 
πŸ˜‚ Aisee, enzi zile ulikuwa unampiga bebi call hadi charge inaisha, sasa hivi simu ikiita unajiuliza, "Ni bank au mzigo umeingia?" πŸ˜‚
 
Wagombanao ndio..... Sogea karibu basi, unakimbia wapi sasa usiku mfupi sana. I'm coming to the light in the right way πŸ˜‰πŸ˜‰
Ahahahaha... i can tell wewe ni mjuzi na mwenye hekima ya kum adjust mtu.
Bila shaka mheshimiwa huko amekamatika haswaaa
 
Kuna Malaya aliniacha katika kipindi kigumu Sana nmefiwa na dada yangu (pacha) job nikaondolewa totally nikawa broken saivi kunisalimia kwingi Hadi asiponipata kwenye simu anampigia mzee father
 
Ukiwa na pesa mbele ya wanadamu unaonekana ni dhahabu Ile kilo Moja ya dhahabu ikitumbukia kwenye shimo la choo watu watakuchimba wakupate ukiwa hauna pesa mbele ya mwanamke utaonekana ni harufu ya choo ukizipata haraka sana utageuka kuwa manukato unapokuwa kipindi hichi jifunze kusamehe kila mtu aliyekuumiza kipindi hauna kitu pesa zako zitaongezeka na maisha yako yatakuwa marefu sana ukazidi kuwa mwingi katika kutendea wengine matendo mema waswahili wanasema usitumie pesa zako kuwa fimbo
 
bonge moja la ujumbe asanteee
 
mwanamke kwangu ni mradi wa kunizalishia watoto tu hakuna kingine

isingekua watoto nisinge oa

kwamantiki hio sibembelezi kima πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…