Nikaribisheni

Mkuu hapo kazi kwako tuu mamaeee
 
Nimejifunza vitu vingi sana humu JF, sasa ni jukumu langu kuelekeza ninachokijua kutoka humu kwa anayehitaji
Hapao kubold umesema unaandika b"katkat ya maneno mfano[gegeda]hiyo b inaandikwa wap apo mkuu
 
Hapao kubold umesema unaandika b"katkat ya maneno mfano[gegeda]hiyo b inaandikwa wap apo mkuu
Herufi b iandike katikati ya mabano halafu nje ya mabano andika ujumbe unaotaka kuupost
 
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age

Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
karibu mgeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…