Nikaribisheni

Nikaribisheni

Kuna uzi unaoelezea ku bold, nimeutafuta bado sijaupata, nikiiupata nitakuletea link ukajifunze.

Ila tunaweza kuanza kidogo kidogo kuelekezana.


Andika [ halafu inafuatiwa na herufi ''b" andika ] halafu andika maneno unayotaka kucomment.

Lakini usiache nafasi kuanzia mabano hadi maneno.

Jaribu nione
Mkuu hapo kazi kwako tuu mamaeee
 
Back
Top Bottom