Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Nan kakwambia tena mess ukimpeleka viwanja vya ndondo cup anakipiga vizuri tu yule MTU ni gifted
 
Mpaka leo namba moja anabaki kuwa pelle tu
Sasa hivi hao mnaowaita bora wanajiangusha angusha na kudai mipenalty
 
Hat- trick mara 92
Goli 4 mara 31
Goli 5 mara 6
Goli 8 mara 1
Huyu ni pele mfalme wa soka duniani
 
Basi haya yote mjomba pele alikuwa anayatenda bila tabu kwa ufanisi mkubwa tena katikati ya uwanja unaofanana na ule mkwakwani au majimaji ya songea(Kiwanja kibovu)
 
Hamna kitu, his best goals ziko youtube na ni magoli ya kawaida sana.
Mkuu hujamfatilia huyu babu.. Imagine vitu alivyofanya mwaka 50 kweusi huko ingekuwa leo angekuwaje..

Mie nimemfatilia vizur mnoo sijawahi kuongea kimapenz kwenye suala la soka.. Ukizingatia namkubali mnoo messi kwa kizazi cha sasa.
Amini yangu pele alikuwa hatari.
 
Pele anajuq kilichomsibu 66 alitaka na kuacha kucheza mpira kabisa kwa yale yaliyomkuta..
 
Kwangu ni
Pele
Messi
Maradona


Hawa wawili nimewafatilia mnooo zaid ya sana, huyu mmoja namshuhudia kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…