Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

U can't compare Pele na Messi ndungu, ni sawa wewe tuku-compare na mzazi wako, different things. Hawa viumbe wameishi ktk nyakati tofauti kabisa. Pele amebeba ndoo tatu za kombe la dunia wakati wake, Messi hajabeba hata kombe moja hata la America ya kusini. Messi anacheza mpira Europe miaka yake yote, Pele hajawahi kucheza mpira Europe bali Latin America na USA. Hawa ni watu wawili tofauti, you can't compare them at all.

Kipindi cha kina pele kama ni Messi angebeba 5 world cup au zaidi ya hayo. Kwa sababu kipindi hicho kila kitu ilikuwa rahisi kuamuwa,, kulikuwa hakuna offside wala sheria ngumu kama kipindi cha akina maradona mpaka messi...pia Kombe la dunia sio la mtu mmoja mmoja, ni timu work.
 
Ukipata fursa nyingine,mtazame na Diego Armando Maradona. Angalia usimkatae tu uliyeambiwa ni mfalme Wa soka
Wazungu wabaguzi Maradona kwa vile anaasili ya waisrael ndo maana Pele hawamwongelei sana, Hata Etoo alitakiwa awe mchezaji bora katika kipindi chake lakini wapi
 
Ata welbeck ni bora kuliko uyo aliyecheza mpira kipindi hamna offside
offside imeanza muda gani, tuanzie hapa, ongezea na linesman maana mnakariri story za vijiweni ndio mnatuletea hapa

hata kama offside isingekuwepo, pele magoli yake mengi alikuwa anakibeba kijiji toka namnyamba huko mpaka ujiji, anawaacha hapo goli anaenda kufungia handeni huko
 
Mkuu vipi aise....Kitu kinajulikana kabisa alafu wewe unatuletea shombo hapa,, umemcheki pele tu, Diego umemcheki pia??? Walikuwepo Puskas, Cruiff, Alfredo de stefano n.k umewacheki????

1-King

2-Hakuna kabisa, huu ndio ukweli anaebisha abishe mpaka apasuke

3-King Diego

4-Pele

5-Alfredo de Stefano

6-Cruiff

7-Zidane

8-Requelme

9-Cr7

10-Puskas

11-Di lima

Enzi za pele watu walikuwa wanajifungia kiholela/hovyo, ,, offside mtu anajipigia anavyotaka,,yani mpira wa zamani ulikuwa vichekesho sana 😀 sheria hakuna, yellow n red cards sidhani kama zilitumika wakati huo....lakini mtu ukimwambia haya maneno haamini. Wabongo ndivyo tulivyo....twendelee kusubiri viwonder ifikapo 2050.
Hili mimi nilikuwa silijui kabisa, kumbe ni sisi wabongo tu ndio tunaomuita Pele kuwa king wa futiboli, nilidhani duniani kote ilishakubaliwa hivyo, tena wambea wanasema ni baada ya mnyukano mkali kati yake na Maradona, kumbe hata tatu bora hawamo, Duh!
 
Huyo kaandika kwa mapenzi yake binafsi.. dunia nzima inamtambua pele kama namba moja.
 
Kuna jamaa mmoja huku kwetu huwa ni muongo sana, sijawahi kuona mtu muongo Dunia nzima kama huyu jamaa. Lakini ukimwambia we jamaa muongo sana achana na sisi bana huwa anajibu Leon Messi ndiye muongo kuliko watu wote kwasababu anapiga vyega uwanja mzima na kupenya sehemu zisizopenyeka.
# Lakini huwa namwambia jamaa ni sawa ila kuna mizee huko zama za zamadamu ilishafanya balaaa za kutosha kwenye ulimwengu wa mpira hanielewi namuonyesha mpaka video za zamani za kina babu Pele na mzee wa cross kwa tiki taka Maradona hanielewi kabisa.
 
Ukipata fursa nyingine,mtazame na Diego Armando Maradona. Angalia usimkatae tu uliyeambiwa ni mfalme Wa soka
Maradona hakuwa mtu mzuri kabisa. Huyo jamaa alikuwa anapiga cross kwa tiki taka na mpira unafika sehemu husika. Tena mara nyingi alikuwa anazitupia ndani ya kumi na nane afu raia wanamalizia kiulaini kabisa.
 
Huyo Andunje mtoe bana
1: Nnhhhhhhhh!!!!!!!,,, We jamaa acha masihara.
2: *Messi - The Alien - The Magician - The Wizard*. Huyu mtu aachwe hapo hapo tena kama inawezekana Cruyff atoke afu The The Magician atulie nafasi ya Nne hapo.
4:Afu kama sioni namba Tatu,, mi naiweka kibabe Ronaldinho Gaucho.
 
Ni kosa kubwa kumlinganisha Pele aliyebeba ndoo tatu za kombe la dunia na Messi. Kwanza hawa viumbe wameishi ktk nyakati tofauti kabisa. Mlinganishe Messi na mpinzani wake Cristiano Ronaldo sio Pele au Maradona ni kosa la ufundi sana.
Kubeba kombe la Dunia sio tatizo. Kwa mfano: David Villa /Juan Mata wamebeba kombe la Dunia mara moja, je ni bora zaidi ya Leon Messi The Magician kwa uwezo wakukokotoa mpira?
 
Huyo kaandika kwa mapenzi yake binafsi.. dunia nzima inamtambua pele kama namba moja.
Ulidhani nami mkuu nimeingia choo chake cha kike? Ni dizaini tu ya kuwalimisha watu wabishi niliyoichagua, na huwa hawajibu, wanabanwa kwenye kona wenyewe.
 
Kuna jamaa mmoja huku kwetu huwa ni muongo sana, sijawahi kuona mtu muongo Dunia nzima kama huyu jamaa. Lakini ukimwambia we jamaa muongo sana achana na sisi bana huwa anajibu Leon Messi ndiye muongo kuliko watu wote kwasababu anapiga vyega uwanja mzima na kupenya sehemu zisizopenyeka.
# Lakini huwa namwambia jamaa ni sawa ila kuna mizee huko zama za zamadamu ilishafanya balaaa za kutosha kwenye ulimwengu wa mpira hanielewi namuonyesha mpaka video za zamani za kina babu Pele na mzee wa cross kwa tiki taka Maradona hanielewi kabisa.
Halafu kumfananisha mpishi wa karne za kale hata majiko ya gesi hayakuwepo na mpishi wa sasa unapika kwa rimoti, pia ni mapungufu. Pele wa miaka hiyo na Dhihno, mtu aliyezicheki clip kibao za wakongwe, akajifunza kwazo, wapi na wapi. Naamini hata ukimuuliza Okocha, atakwambia nina mtu niliyejifunza kwake.
 
Kwa kuzingatia mambo haya
1: Dribbling skills
2: Vyenga
3: Asist
4: Kulijua goli
5:Solo run (Kuwaungisha watu tela kama alivyowafanya Madrid baada ya kususiwa pasi na Ghost agent Sergio Bousquet)
6: Kuchana/Kukatiza mazingira magumu kama alivyowafanya Atletico Bilbao kwenye Copa Delay nimesahau mwaka.

MESSI THE FORMULAR THE MAGICIAN.
 
Back
Top Bottom