Nikasikia Bonge la Msonyo nyuma yangu

Nishawakuta hapo posta Benjamin Mkapa, nikamwambia nimetoka nyumbani na mambo mengine hiyo habari kununua simu Sina ratiba hiyo ,ving'ang'anizi nikawambia kesho.
Safi sana; na Mkaachana kwa Amani na Upole kiaina.
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha vinginevyo? Na ww tutakutaka ulete Ushahidi.
Duu FUVU la leo hili, kuulizwa ushahidi unakuwa mkali kwahio just tuamini kwasababu umesema.

Mimi nilete ushahidi kwani mimi nimesema matapeli yaani sawa na uende dukani umwite muuza duka tapeli tunaomba ushahidi then wewe unataka tutee ushahidi tulio-kuhoji ushahidi.....Dog it Dog Thinking.
 
Kwa hiyo salamu ilikua tam hadi akaifuata akaenda kuhonga na hela na simu au sio
Watu wengi ambao wametapeliwa kwa njia hiyo huwa wanaona aibu kusema kuwa walidanganywa na maneno wakajikuta wameingia mkenge. Wengi husingizia kuwa wanafanya mambo bila kujijua ili kuondoa aibu.
 
Hapana. Ingekuwa hivyo watu wangeibiwa vibaya sana.
Kwani huyo mdada aliyefikishwa Bagamoyo unadhani alienda kwa kupenda au alikuwa kama Zombie/Hajijui?. Watu hawajitangazi wakiibiwa ila mikasa na vituko vya aina hiyo vipo mkuu tusijitoe Ufahamu kktk hilo.
 
Mimi nazungumza nikiwa na uzoefu. Hakuna kitu kama kupumbuzwa. Kungekuwepo na huo uwezekano usingetembea mjini. Pia wadada wazuri wazuri wengi wangepumbazwa na kwenda kubakwa. Wanasema wamepumbazwa ni aibu ya kusema walidanganywa na maneno.
 
Jamaa kasema kwamba Matapeli hao walikuwa Mbagala... ww ukamtaka akupe ushahidi. Manake hukubaliani naye au vp. Lakini isiwe shida 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️.
 
Unaongelea uzoefu usiojua...mtu anaugua 3 months na kidogo afe halafu bado unasema eti alidanganywa na maneno anaona aibu kusema. Jf inawajuaji sana
 
Hiyo kitu Scopolamine(Burundanga) ina uwezo wa kufuta memory kwa muda na ukizinduka hukumbuki chochote ila unajikuta huna mali au vitu vyako na hujui vimetowekaje. Mbinu hiyo imetumika sana hapa Tz kuwaibia wasafiri, kuwarubuni watu wanaotoka Bank (kuchukua fedha) n.k.
 
Jamaa kasema kwamba Matapeli hao walikuwa Mbagala... ww ukamtaka akupe ushahidi. Manake hukubaliani naye au vp. Lakini isiwe shida 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️.
WHAT THINKING IS THIS JF BAN THAT USELESS DUDE....nimeomba ushahidi THAT hukubaliani naye ni nini.
 
Unaongelea uzoefu usiojua...mtu anaugua 3 months na kidogo afe halafu bado unasema eti alidanganywa na maneno anaona aibu kusema. Jf inawajuaji sana
Tuelewane kwanza maana wabongo huwa ni kama mmechanjiwa kwa ubishi. Dawa za kulewesha zipo. Narudia: dawa za kulewesha zipo na nimeshaona cases za watu kulazwa hospital kwa miezi baada ya kuwekewa dawa. Huyo huenda alilishwa dawa. Ninachokataa ni dawa ya kupumbaza, eti mtu anakuwa anatembea lakini hajijui.
 
Achana nae huyo jamaa analeta ujuaji wa fb humu
 
Upo huru kukataa...
 
Umezungumza jambo la Point sana, huo pekee ni utapeli kwasababu niliyoambiwa mwanzo ni tofauti kabisa na niliyo kutana nayo, na kale kamadam sikukaona tena kalijua kamenidanganya
 
Nishawakuta hapo posta Benjamin Mkapa, nikamwambia nimetoka nyumbani na mambo mengine hiyo habari kununua simu Sina ratiba hiyo ,ving'ang'anizi nikawambia kesho.
Madam,

We acha tu wanajua kumkomalia mtu hatar
 
Chief upo sahihi Kabisa
 
Mkuu
Walitaka window
Ukawapandishia window juu ya window na dole la kati ukaliinstall kama nyongeza.
 
Dah
 
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…