Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
sawaMkuu naomba niku PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaMkuu naomba niku PM
Huko hakuna hela kama anataka hela ya haraka,hasara kubwa hasa miaka atakayotumia.Kwa PCB yako kama utarudi shule nakushauri kasome kozi za afya.
Hasa hasa Udaktari.
Umuhimu wa daktari haujawai na hautawai kuisha duniani
Biashara umeona itakucheleweshaMasomo mkuu, biashara nitafanya tu.
Wewe haswa unataka nini? Tuanzie hapoWakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box.
Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini vilio ni vingi sana, nadhani nisipofanya maamuzi sasahivi nitaenda kua kama wao tu, hakuna kitakachoharibika,
Nina-acces ya kukopa million 15/20 NMB/HAZINA. Japo za hazina kuzipata ni ngumu mno, nawaza vitu viwili nikasome au nitafute biashara nifanye?
Course ambayo nimeplan kwenda kusoma ni bachelor degree in business statistics and economics nadhani kwamba nikimaliza hii naweza fukuzia na kufanyiwa re-categorization.
Vipi wakuu niendelee kushika chaki huku nikifungua biashara? Au niende kusoma TU?.
udaktari kozi ya njaa ....kuna kozi za kuingiza hela hata kama hijaenda ofisini wiki nzima, daktari anazidiwa na Health secretary???Kwa PCB yako kama utarudi shule nakushauri kasome kozi za afya.
Hasa hasa Udaktari.
Umuhimu wa daktari haujawai na hautawai kuisha duniani
Tunatofautiana kidogo sana yaani mimi hapa asaivi naona hizi ajira zinanichanganya biashara ndio nafanya na somehow inanilipa ajira nazo zimetoka na zilivyo ngumu kupatikana siku izi kuziacha naona tabu piaNitafanya tu mkuu, changamoto hapa kugoma naona hela itapotea tu, bora ningekua miji yenye mzunguko nisingehangaika.