Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

Kwa PCB yako kama utarudi shule nakushauri kasome kozi za afya.

Hasa hasa Udaktari.

Umuhimu wa daktari haujawai na hautawai kuisha duniani
Huko hakuna hela kama anataka hela ya haraka,hasara kubwa hasa miaka atakayotumia.
 
Wewe haswa unataka nini? Tuanzie hapo
 
Kwa PCB yako kama utarudi shule nakushauri kasome kozi za afya.

Hasa hasa Udaktari.

Umuhimu wa daktari haujawai na hautawai kuisha duniani
udaktari kozi ya njaa ....kuna kozi za kuingiza hela hata kama hijaenda ofisini wiki nzima, daktari anazidiwa na Health secretary???
 
Nitafanya tu mkuu, changamoto hapa kugoma naona hela itapotea tu, bora ningekua miji yenye mzunguko nisingehangaika.
Tunatofautiana kidogo sana yaani mimi hapa asaivi naona hizi ajira zinanichanganya biashara ndio nafanya na somehow inanilipa ajira nazo zimetoka na zilivyo ngumu kupatikana siku izi kuziacha naona tabu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…