Niki Mbishi:Tamasha la wasafi la mwaka huu halina mvuto wala msisimko kabisa huu ni ukweli.

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam
Msanii wa muziki wa kufoka foka bwana Niki Mbishi akihojiwa na moja ya chombo cha habari aliulizwa mbona mwaka huu hajapata show yeyote ile hata kwenye tamasha la wasafi kama mwaka jana ? Msanii Niki mbishi alihamaki na kusema hajui kwanini yeye hajapewa show lakini aliendelea mbele na kusema waandaji wa Tamasha la wasafi wanatakiwa kujipanga kwani tamasha halina amsha amsha na wala halina mvuto kama mwaka jana walipokuwa kwenye tour..

Lakini mtangazaji alimuuliza mbona muamko unaonekana na watu wanajaa kila show na wadhamini wana miminika kuliko tamasha lolote maana hadi sasa lina wadhamini zaidi ya sita ....Nikki mbishi alijibu kwa kusema lakini ukweli ni kwamba tamasha halina mvuto na amsha amsha kama kipindi cha mwaka jana.....

Ni kweli Nikki mbishi anasema kweli?
 
Anafoka foka nini Mkuu?
 
Niki mbishi amenichekesha ingekuwa haina mvuto watu wasingekuwa wanajaa Sana Wala wasingekuwa wanapata masponsors wengi hapa juzi mdhamini mwingine ameongezeka body ya utalii imeingia mkataba na wasafi festival kutumia Hilo jukwaa kwa ajili ya kushawishi utalii wandani kutokana na mkusanyiko wa mshabiki kuwa wengi.Me nafikiri niki mbishi ana hasira yakutopata nafasi yakuperform kwenye jukwaa la wasafi.
 
Hata hilo swali ameulizwa
 
mwambie kwanza aache kubebwa na ndugu yake joh makini,,
Asimame yy kama yy tumuone pumzi yake kama atachukua raundi,

Umechanganya madwa ni Nikki Mbishi
 
nikki ana stress, wamembania show ya castle lite, fiesta hagusi, wasafi mwaka huu pia anagonga deshi, album yake watu hawanunui kwa wingi na wasanii wenzie hawampi sapoti aisee inauma. Jamaa hachoki kulalamika kule twitter hadi huruma.
 
Back
Top Bottom