qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
thnx mi bwana target zangu ni kuwa dk
before 35 years napenda sana
nlipokua o level baba angu alitaka niwe dk by professional necta physics ikantenda nkapiga
ila kwa kua mwl ntaitwa tu dk kwa uwezo wa MUNGU
Kwani soon ni miezi 6 tu?
Kwani ukimaliza masters lazima use lecture,?
Tanzania si inaongoza kwa watu kwenye IQ ndogo duniani! Eti why kasoma sociology! Hivi hata wanawajua magwiji wa sociology ni wanaume!
Si alisema hataki kuajiriwa?
Hongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.
Njoon huku tupambane.....
Masters ya development studies...
So far hao mainjinia na wakandarasi wamefanya nini kama barabara tu ya uchochoroni wanatafuta wakandarasi wa nje majengo ndio kabisaa wataalamu wa nje... elimu yao sifa tu wamuwache sociologist Nikki
Ha ha ni kweli wana mnanga muno ma profesa wenyewe wamefanya kusaidia jamii ma engineer wenyewe barabara zina jengwa na wachina na wamuache mwenzao afanye atakalo wakati kuna ma profesa hadi wa witch craft sembuse mambo ya ds
Kuna watu nimewadharau Sana kupitia Uzi huu.....
So far hao mainjinia na wakandarasi wamefanya nini kama barabara tu ya uchochoroni wanatafuta wakandarasi wa nje majengo ndio kabisaa wataalamu wa nje... elimu yao sifa tu wamuwache sociologist Nikki
Ha ha ni kweli wana mnanga muno ma profesa wenyewe wamefanya kusaidia jamii ma engineer wenyewe barabara zina jengwa na wachina na wamuache mwenzao afanye atakalo wakati kuna ma profesa hadi wa witch craft sembuse mambo ya ds
Wewe unataka kuharibu hali ya hewa tu. Kama hujui ni bora kukaa kimya tu! Hujui tofauti kati ya mkandasi na mainjinia
So far hao mainjinia na wakandarasi wamefanya nini kama barabara tu ya uchochoroni wanatafuta wakandarasi wa nje majengo ndio kabisaa wataalamu wa nje... elimu yao sifa tu wamuwache sociologist Nikki
Bwana si uandishi tu ila umeelewa
tukisema degree za sociology sio degree za kike tunakosea sana na inaonyesha ni kiasi gani bado watu wanamfume dume.degree hizo mnazoona za kiume kama udactari au medicine injinia nk ndo degree kwa bongo ni uongo tu.mshahara wenyewe hauna hata tofauti labda uwe umejiari.lakini kwa bongo kutofautisha bado sana.nchi za ulaya unaweza sema kidogo kuna utofauti lakini sio bongo.[/B]
Bhaelezeeee no wonder watamponda hata Nyerere kuwa alisomea Ualimu
Nipe tofauti kati ya mkandarasi na mhandisi?
Usirudie kumfananisha Niki na Nyerere. Nyerere elimu imemsaidia, niki elimu haijamsaidia mpaka leo ndio maana anaangaika angaika.
Eeerrrmm nimekuambia nilikosea katika uandishi bwana kwani sikosei.?. yote yana maana sawa tu.