Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Acha dharau nawewe kozi ya kike ni ipi na yakiume ni ipi?? Achana na mfumo dume hao haohao maprofesa na madokta waliosoma hizo kozi mnazoziita za kike ndio wanaowafundisha dada zenu na wake zenu hiyo Sociology au DS vyuoni.
Utabisha utakubali sociology ni degree ya kike 90% ni wadada...