Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

thnx mi bwana target zangu ni kuwa dk
before 35 years napenda sana
nlipokua o level baba angu alitaka niwe dk by professional necta physics ikantenda nkapiga
ila kwa kua mwl ntaitwa tu dk kwa uwezo wa MUNGU

Kila la kheri ndoto zako zitimie asikuambie mtu elimu raha hasa kuanzia Phd fursa ni nyingi coz watu wachache.... wenye stress za maisha kusoma vitu vigumu vya science na kuishia kuwa ma Front Desk officer usishangae comments zao.
 
Tanzania si inaongoza kwa watu kwenye IQ ndogo duniani! Eti why kasoma sociology! Hivi hata wanawajua magwiji wa sociology ni wanaume!

So far hao wakandarasi wamefanya nini kama barabara tu ya uchochoroni wanatafuta wakandarasi wa nje majengo ndio kabisaa wataalamu wa nje... elimu yao sifa tu wamuwache sociologist Nikki
 
Hongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.

Njoon huku tupambane.....

Jamani elimu nayo ni passion ya mtu .. utaweza mlazimisha mtu asome udaktari kisa madaktari wachache hata kama hawezi au hapendi ok wengine waendelee na MBA.. so far TZ tangu uhuru mpaka sasa hatuna tegistered auditor hata 8,000 kule NBAA sasa sijui wengine wanapenda sifa tu kujifanya wasomi wa vitu vigumu wakati hata CPA zinawashinda..
 
So far hao mainjinia na wakandarasi wamefanya nini kama barabara tu ya uchochoroni wanatafuta wakandarasi wa nje majengo ndio kabisaa wataalamu wa nje... elimu yao sifa tu wamuwache sociologist Nikki

Ha ha ni kweli wana mnanga muno ma profesa wenyewe wamefanya kusaidia jamii ma engineer wenyewe barabara zina jengwa na wachina na wamuache mwenzao afanye atakalo wakati kuna ma profesa hadi wa witch craft sembuse mambo ya ds
 
Nashangaaa mtoto wakiume anakaa kuandika comments za hate tu alafu pointless maana sioni mantiki ya kumponda eti anasoma Devt Studies wakati chuo kuna Dr na Profesa wengi wa DS wakiume wanawafundisha dada zao na wake zao.
 
So far hao mainjinia na wakandarasi wamefanya nini kama barabara tu ya uchochoroni wanatafuta wakandarasi wa nje majengo ndio kabisaa wataalamu wa nje... elimu yao sifa tu wamuwache sociologist Nikki

Wewe unataka kuharibu hali ya hewa tu. Kama hujui ni bora kukaa kimya tu! Hujui tofauti kati ya mkandasi na mainjinia
 
Ha ha ni kweli wana mnanga muno ma profesa wenyewe wamefanya kusaidia jamii ma engineer wenyewe barabara zina jengwa na wachina na wamuache mwenzao afanye atakalo wakati kuna ma profesa hadi wa witch craft sembuse mambo ya ds

Kukaa kimya nayo ni busara tu.
 
tukisema degree za sociology sio degree za kike tunakosea sana na inaonyesha ni kiasi gani bado watu wanamfume dume.degree hizo mnazoona za kiume kama udactari au medicine injinia nk ndo degree kwa bongo ni uongo tu.mshahara wenyewe hauna hata tofauti labda uwe umejiari.lakini kwa bongo kutofautisha bado sana.nchi za ulaya unaweza sema kidogo kuna utofauti lakini sio bongo.[/B]
So far hao mainjinia na wakandarasi wamefanya nini kama barabara tu ya uchochoroni wanatafuta wakandarasi wa nje majengo ndio kabisaa wataalamu wa nje... elimu yao sifa tu wamuwache sociologist Nikki
 
tukisema degree za sociology sio degree za kike tunakosea sana na inaonyesha ni kiasi gani bado watu wanamfume dume.degree hizo mnazoona za kiume kama udactari au medicine injinia nk ndo degree kwa bongo ni uongo tu.mshahara wenyewe hauna hata tofauti labda uwe umejiari.lakini kwa bongo kutofautisha bado sana.nchi za ulaya unaweza sema kidogo kuna utofauti lakini sio bongo.[/B]

Kwanza wasituchefue kuwaponda wanaume wenzao kusoma kozi za kike hao wanasojifanya kusoma za kiume bado wanatufufanyia operesheni za kichwa badala ya miguu na kutengeneza barabara zisizo na viwango..hawana hata ufumbuzi mmoja wa kisayansi waache wenzao wasome bana hakuna kozi ya kike wala ya kiume hapa
 
Back
Top Bottom