Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Anasomea sifa sio kumake pesa mim nikisoma sana ntakomea degree ova sitak menginee
That means hata degree kumbe bado wewe?kila la kheri ila ujue tu kusoma kwa baadhi ya watu ni "adiction" yani kuna watu wanakuwa adicted na kusoma na hutokea tu, so it might happen hata kwako binamu, wengi walisema kama wewe lakini wakajikuta they need more and more
Jamani elimu nayo ni passion ya mtu .. utaweza mlazimisha mtu asome udaktari kisa madaktari wachache hata kama hawezi au hapendi ok wengine waendelee na MBA.. so far TZ tangu uhuru mpaka sasa hatuna tegistered auditor hata 8,000 kule NBAA sasa sijui wengine wanapenda sifa tu kujifanya wasomi wa vitu vigumu wakati hata CPA zinawashinda..
Hata mimi nilishangaa baada ya kusema hata degree bado then anaponda mtu anayefikiria kusoma PHD ila sishangai mitandaoni kuna hata watoto
Kukaa kimya nayo ni busara tu.
Nashangaaa mtoto wakiume anakaa kuandika comments za hate tu alafu pointless maana sioni mantiki ya kumponda eti anasoma Devt Studies wakati chuo kuna Dr na Profesa wengi wa DS wakiume wanawafundisha dada zao na wake zao.
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
Huyu jamaa ana bachelor of arts in sociology udsm..masters of development studies udsm hapo hapo sio MBA...
Wamezidi kwa kweli kuponda kila kitu hawajui tu umuhimu wa alicho soma kwa jamii kina kuwa applicable direct kuliko hata ma injia wameshindwa kutengeneza hata gari siwaelewi wanaume wenye vijiba vya roho kwa mwenzio ndo kashawaacha extra miles hizo kelele zao za chura hazimnyimi tembo kunywa maji wao hata digriivya pili imewashinda kama wanaona elimu ni mbaya wajaribu ujinga go go Nick soon you will be Dr Nick wa pili haters mta bounce
Jamani; ili kuipa hadhi yake ni vizuri kuiandika PhD na siyo Phd wala PHD mbaya zaidi mwingine anaandika phd
Usirudie kumfananisha Niki na Nyerere. Nyerere elimu imemsaidia, niki elimu haijamsaidia mpaka leo ndio maana anaangaika angaika.
Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu
Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu
Hata mimi nilishangaa baada ya kusema hata degree bado then anaponda mtu anayefikiria kusoma PHD ila sishangai mitandaoni kuna hata watoto
Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu
Tuonyeshe applicability ya ulichosomea mkuu usikute unabishana na graduates hapa af wewe ni form 4 feilure
Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu
Kwahiyo unataka kusema wote waliosoma Sociology it was a wastage of time????
kila kitu kiko applicable... isingekua applicable hizo kozi zingeshafutwa... unasema development studies iko applicable wapi??? ARE U FOR REAL?????