Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Anasomea sifa sio kumake pesa mim nikisoma sana ntakomea degree ova sitak menginee

That means hata degree kumbe bado wewe?kila la kheri ila ujue tu kusoma kwa baadhi ya watu ni "adiction" yani kuna watu wanakuwa adicted na kusoma na hutokea tu, so it might happen hata kwako binamu, wengi walisema kama wewe lakini wakajikuta they need more and more
 
Hata mimi nilishangaa baada ya kusema hata degree bado then anaponda mtu anayefikiria kusoma PHD ila sishangai mitandaoni kuna hata watoto
 
Jamani elimu nayo ni passion ya mtu .. utaweza mlazimisha mtu asome udaktari kisa madaktari wachache hata kama hawezi au hapendi ok wengine waendelee na MBA.. so far TZ tangu uhuru mpaka sasa hatuna tegistered auditor hata 8,000 kule NBAA sasa sijui wengine wanapenda sifa tu kujifanya wasomi wa vitu vigumu wakati hata CPA zinawashinda..

Ndo watajijua.....CPA haina ugumu wowote.
 
Hata mimi nilishangaa baada ya kusema hata degree bado then anaponda mtu anayefikiria kusoma PHD ila sishangai mitandaoni kuna hata watoto

Bado nasoma na umri unaniruhusu sijaruka stage na nakaribia kufikia napotaka namaliza mjadala,siendeleiii
 
Nashangaaa mtoto wakiume anakaa kuandika comments za hate tu alafu pointless maana sioni mantiki ya kumponda eti anasoma Devt Studies wakati chuo kuna Dr na Profesa wengi wa DS wakiume wanawafundisha dada zao na wake zao.

Wamezidi kwa kweli kuponda kila kitu hawajui tu umuhimu wa alicho soma kwa jamii kina kuwa applicable direct kuliko hata ma injia wameshindwa kutengeneza hata gari siwaelewi wanaume wenye vijiba vya roho kwa mwenzio ndo kashawaacha extra miles hizo kelele zao za chura hazimnyimi tembo kunywa maji wao hata digriivya pili imewashinda kama wanaona elimu ni mbaya wajaribu ujinga go go Nick soon you will be Dr Nick wa pili haters mta bounce
 
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
9b60f8844ec111e381ef125a95a1c163_8.jpg

Huyu jamaa ana bachelor of arts in sociology udsm..masters of development studies udsm hapo hapo sio MBA...
 
Wamezidi kwa kweli kuponda kila kitu hawajui tu umuhimu wa alicho soma kwa jamii kina kuwa applicable direct kuliko hata ma injia wameshindwa kutengeneza hata gari siwaelewi wanaume wenye vijiba vya roho kwa mwenzio ndo kashawaacha extra miles hizo kelele zao za chura hazimnyimi tembo kunywa maji wao hata digriivya pili imewashinda kama wanaona elimu ni mbaya wajaribu ujinga go go Nick soon you will be Dr Nick wa pili haters mta bounce

Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu
 
Acha dharau nawewe kozi ya kike ni ipi na yakiume ni ipi?? Achana na mfumo dume hao haohao maprofesa na madokta waliosoma hizo kozi mnazoziita za kike ndio wanaowafundisha dada zenu na wake zenu hiyo Sociology au DS vyuoni.
 
Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu

Kwahiyo unataka kusema wote waliosoma Sociology it was a wastage of time????

kila kitu kiko applicable... isingekua applicable hizo kozi zingeshafutwa... unasema development studies iko applicable wapi??? ARE U FOR REAL?????
 
Tuonyeshe applicability ya ulichosomea mkuu usikute unabishana na graduates hapa af wewe ni form 4 feilure
 
Mdogo wangu mimi kaka yako tena kaka yako mkubwa tuu...habari za supp carry over zote nimeshamaliza...kwaio tulia kama maji ya mtungini...applicability ya nilichosomea mimi.ni mahakamani...upo hapo...Res Ipsa Loquiter...
 
Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu

Kumbe ujui inako tumika hiyo uko dunia gani wewe aisee hebu jaribu hata ku google tu utapata majibu hamna kozi ya kike wala ya kiume na kuna ma profesa wengi wa sociology na mambo ya development studies hebu nionyeshe degree yako unaifanyia wapi application yake
 
Kwahiyo unataka kusema wote waliosoma Sociology it was a wastage of time????

kila kitu kiko applicable... isingekua applicable hizo kozi zingeshafutwa... unasema development studies iko applicable wapi??? ARE U FOR REAL?????

Kama umesoma vyuo hivi Udsm, Udom utaelewa nini kusoma kozi ya sociology...sociology ni kozi ya kidada 90% wanaosoma ni wadada...complete wastage of time ni kusomea masters of development studies....no wonder this dude is stressed out...anaongea ongea tu sitaki kazi..ni sawa sawa na kusomea Early Child Hood Development...unataka uwe mwalimu wa chekechea? piga ua katika maisha ukiwa na msingi weak kielimu u end up having a weak life in the future kama hauchakariki
 
Back
Top Bottom