Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Acha dharau nawewe kozi ya kike ni ipi na yakiume ni ipi?? Achana na mfumo dume hao haohao maprofesa na madokta waliosoma hizo kozi mnazoziita za kike ndio wanaowafundisha dada zenu na wake zenu hiyo Sociology au DS vyuoni.

Utabisha utakubali sociology ni degree ya kike 90% ni wadada...
 
Nafanyia application mahakamani nikiwa nimetinga suti..pembeni nimepaki Fortuner...yenye 22 inches rim...black tinted windows with custom leather seat...whatchu say...??
 
Nafanyia application mahakamani nikiwa nimetinga suti..pembeni nimepaki Fortuner...yenye 22 inches rim...black tinted windows with custom leather seat...whatchu say...??

Hhhaaaaaa
 
Nafanyia application mahakamani nikiwa nimetinga suti..pembeni nimepaki Fortuner...yenye 22 inches rim...black tinted windows with custom leather seat...whatchu say...??

Ha ha imenibidi tu nicheke sasa hayo ya kutinga sijui nini yanahusikaje ulishaenda kwanza school of law ds ina application sehemu mbalimbali tofauti na wewe sehemu moja usiponde usicho kijua
 

Ni shiderrrrr.......
 
Utabisha utakubali sociology ni degree ya kike 90% ni wadada...

Your perception is not my reality....... hata kama wengi wanaosoma ni wadada haimaanishi hiyo ni ya kike.....

Its just a mentality ambayo wewe umeijenga kichwani kwamba Sociology ni ya watoto wa kike kitu ambacho siyo kweli
 

Hahaaa Lyamber hakusema hataki kazi bali hataki kuajiriwa.. kutokutaka kazi ni tofauti asingekua anaimba maana mziki ndio kazi yenyewe.......
 

Mim hapana, napenda biashara kusoma sana nawaachia nyie, mim kila kitu nafanya nusu kwa nusu,,maana nachoangalia ni pesa sio makaratasi sijui nna masters au ninii,wengine wanazo lakini wana shida mpaka makalionii,ajira ndio hivyo mtamaliza soli za viatu au kuambulia kufanya kazi tigo or vodacom teh teh mishahara yenyewe midogo khaa
 

Smh.. unadharau wanaosomea ECDE kisa wanafundusha chekechea... no wonder kesho utaponda elimu ya bongo mbovu kwa kuzoea watoto wenu wafundishwe na form four failures maana ndio mnaona wana hadhi ya kufundisha watoto...

Mnafikra mgando badilikeni
 
Smh.. unadharau wanaosomea ECDE kisa wanafundusha chekechea... no wonder kesho utaponda elimu ya bongo mbovu kwa kuzoea watoto wenu wafundishwe na form four failures maana ndio mnaona wana hadhi ya kufundisha watoto...

Mnafikra mgando badilikeni
Queen Sheba asante kwa kuwaambia ukweli mtupu
wakumbuke mwenye elimu mwenye elimu na hakuna ya kike wala ya kiume zote ziko applicable ktk maisha
watz tuache fikra mgando kuna wakaka na hizo mnazoita degree za kike wanakula goodtime na hao wenye za kiume wapo juu ya mawe mf:mdogo wangu amegraduate medicine SUA anamaliza soli za viatu kwa mainterview kila siku
hvyo tusipondane kuna "scale of preference"kwa kila mtu cha msingi tumpe moyo huezi jua anafocus nini
 
Last edited by a moderator:


MTU yeyote unayeona anakandia Elimu ya namna yeyote usipoteze muda kumjibu maana hakuna tija....
 
Last edited by a moderator:
Usirudie kumfananisha Niki na Nyerere. Nyerere elimu imemsaidia, niki elimu haijamsaidia mpaka leo ndio maana anaangaika angaika.


Kila siku huwa nakwambia utahangaika uwezavyo but kamwe huwezi lingana na waliokwenda shule....

utajifariji uwezavyo na utakavyo Kama huna shuls daima utakuwa huna shule....

Ndo maana mnapata hela bado maisha yenu hayana tofauti na nyani.....
 
Socioology na development studies zipo applicable sana. Juzi juzi Tanroad walitaka mtu wa Sociology. Hii miradi mikubwa kama ya Ujenzi inahitaji watu wa Sociology sana, hata huu uwanja wa taifa ulijengwa vizuri lakini sasa mara vitu vimevunjwa, mara uharibu ufanyike wa kila namna. The same kwa miradi ya barabara napo uharibifu ni mkubwa baada ya ujenzi. Kuna wakati hata kabla miradi haijaanza unakuta kunakuwa na resistance kutoka kwa wananchi wa kawaida. Sasa hapo watu waliosomea sociology ndipo wanapotakiwa. Hata huko Mahakamani napo social workers hawakosekani, nenda Mahakama kama za jiji nk utawakuta. Hawa watu ndio wanakuwa karibu na wafungwa hata na mahabusu, hata wale wafungwa wanaofungwa vifungo vya nje hawa ndio huwa wanawafuatilia kwa ukaribu sana .
 
Hhhha elimu yake inampa ninii sasa kusoma kote huko anauza tishet,hizo kozi nazo mmmhhh

Yaan wabongo ni sheeeedaaaa. Hivi ukisoma ni lazima uajiriwe? Huwezi kuwa mjasiria mali ukatengeneza product yako na kuiweka sokoni??
Acheni hizo jamani.... Nijuavyo mimi kujiajiri ndio habari ya mujini. Hata ukichukua vifuu uka design kitu na kikauzika ni poa. Tupiganie haki miliki vijana wavumbuzi wanufaike.
 

Maneno kuntu
 
Nina uhakika wewe una elimu ya chuo kikuu na unaijua vzr!.waache wajitangaze na sociology zao. Halafu mwanaume? Shame!

Hivi kalagabaho, katika mitaala ya elimu ya juu hapa Tanzania kuna kozi za kike na za kiume?????
Nifahamisheni jamani mwenzenu darasa la nne la mkoloni namzidi elimu hata Bill Gate na Microsoft technology yake aliyeajiri maprofeseri na wadomi waliopindukia makini hata house girl sijaajiri
 
Ahahahahahah KIUKWELI HATA MI SIJAONA MANTIKI YA KUJITANgAZA

Hivi amejitangaza au watu mnamtangaza????
Mi sijasikia akitangaza jamani niambieni sie kwetu radio ya mkulima kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka uitundike juu ya mti ndio itanasa matangazo tena ya BBC tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…