Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Acha dharau kwa hiyo wadada wote waliosoma Sociology hawajielewi wanataka nini??????

if the course is not applicable wangeshaitoa siku nyingi... imagine somebody ambae amesoma three years then she come across your comment.....

Ni uvivu huo...watu kibao wanagraduate hio kozi na bado wanasota kupata kazi then bado tu utasikia wengine wanaenda kusoma kozi hiohio,,hahaha amakweli umaskini tunautaka kwa nguvu....nawapa pole watakaopita hapo na kukwazika ila ndo nilishasema na neno langu wala si sheria waendelee kusoma tu hizo kozi meanwhile wajanja wachache wazidi kujipiga hela huko kwenye kozi wanazohisi ni ngumu
 
WORDS!........ Ila ya Nikki inakukata maini?
 
Kama si sheria then usitake kuaminisha watu kua waliosoma hivyo ni wasiojielewa au we rudia comment yako then uone kama umewatendea haki hao ambao wamesoma hiyo kozi........

Hao walioweka hiyo kozi hawakuona uvivu wewe ndio ue kuona ni uvivu... by the way unanikumbusha some years back ambao watu walikua wanaona HKL sijui HGL sio kozi wakati at the end of the day life is how you make it

Speaking of ajira... kuna watu wamesoma sheria wako mtaani wanahaha no ajira kitaa... Ajira zimekua ngumu despite ya wewe umesoma nini bora hata ualimu ambae ukimaliza unajua utapangiwa shule hata kama ni Katavi lakin una uhakika wa ajira mwisho wa siku.

Tusipende kudharau vitu hata kama unaona hivyo ulitakiwa ujue namna ya kupresent hoja yako sio kusema wadada waliosoma SOCIOLOGY hawajielewi wanataka nini...
 
Hahhhaaaaaaaaaaaaaa nicheke nipate afya miyeeeeeee
Kazi siku hizi bongo sio umesomea nini ni unamjua nani. Rushwaaaaaaaa. Shikamoo Tziiiiiiii
 
Nijuavyo mimi wanasheria wengi wamesoma HKL na HGL
Maana vigezo ni pamoja na kuwa umefaulu vizuri kiingereza na historia..... Halafu mtu anajinadi anavaa suti... Huko mashuleni wako wapondaji pia huita masomo ya kike halafu hayo ya kiume yanawamwaga na kujikuta wakimbilia sheria.... Eti COMBI imekataa...... Under my foot... Jipangeni sawasawa
 
Hahhhaaaaaaaaaaaaaa nicheke nipate afya miyeeeeeee
Kazi siku hizi bongo sio umesomea nini ni unamjua nani. Rushwaaaaaaaa. Shikamoo Tziiiiiiii

Hahahah umeonaaaaa...sasa hizo sociology mpaka connection.na mtoto wa mkulima itakuaje..???hahaha rubani wala daktari haitaji hizo connection...sociology kozi ya kike mtoto wa kiume kama nikki kasoma za zinin??kanisa njema mama
 
Kuna hii Tabia ya watu kukosoa kila kitu. Hiyo ni dalili ya mtu kuwa mchawi. Tumpe Hongera zake kijana. It's true anafanya Ph.D na first and second degree zote kafanya kihalali UDSM. Acheni wivu usio wa maana. Mtaishia kuwa wachawi na kuloga watu wenye maendeleo kwa roho zenu mbaya.
 
Let me be very clear ili usipate shida ya kuandika essay nyingine ndefu...siwezi kujifananisha mimi na aliesoma sociology period!excuse my ego
 
Hahahah umeonaaaaa...sasa hizo sociology mpaka connection.na mtoto wa mkulima itakuaje..???hahaha rubani wala daktari haitaji hizo connection...sociology kozi ya kike mtoto wa kiume kama nikki kasoma za zinin??kanisa njema mama

Connection ni kwa chochote unachosomea sio sociology pekee, thats why hata hao lawyers bado wengine wanasota mtaani
 
Let me be very clear ili usipate shida ya kuandika essay nyingine ndefu...siwezi kujifananisha mimi na aliesoma sociology period!excuse my ego

Iwe fupi iwe ndefu message sent and delivered....

Hakuna aliekufananisha wala atakaekufananisha otherwise unless nakuona kama mtu uliepaniki.. umeshindwa kuja na hoja. Got nothing to do with your EGO.

Cheers.
 
Mchawi sio lazima akuroge....

Mwisho wa siku we should learn to appreciate.
 
Hahahahahaha...sio bora kusoma tu..have a vision ya future mwenye akili na ataelewa,ukisoma kozi ya maana degree tu inakutosha...tatizo watanzania wengi wanapenda kufanya vitu partially umaskin lazima ututawale...sasa mpaka PhD ya nini wakati hizo degree zake mbili bado hajazifanyia kazi..inasikitisha
 
Iwe fupi iwe ndefu message sent and delivered....

Hakuna aliekufananisha wala atakaekufananisha otherwise unless nakuona kama mtu uliepaniki.. umeshindwa kuja na hoja. Got nothing to do with your EGO.

Cheers.

Hahahahaha...apanik nani...ain't wasting no Shit hapa..hoja ya nini mie nshamaliza...hayo mengine yako..
 
Connection ni kwa chochote unachosomea sio sociology pekee, thats why hata hao lawyers bado wengine wanasota mtaani

Siongelei lawyers mama...pole and relax naona unaanza changanya mambo
 
Eti bandugu, hiyo kozi aliyosoma jamaa ina ma.titi kwan? Mbona inaitwa ya kike?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…