Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Aisee inashangaza Sana....
Binam mamboo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee inashangaza Sana....
Binam mamboo
Badala uulize wale ma prof. Wa ccm wameisaidia vip tz kwa elimu zao unauliza kwa nikki..
Wewe kama hukusoma alafu unategemea nikki asome kisha aitumie elimu yake kukukomboa wewe kijana wa mtaani,utasubiri mpaka jehova arudi..
Mi nadhani anasoma kwa ajiri yake yeye na familia yake na sio kwa ajiri ya mtu mwngne,na nadhan anakijua anachokitafta..
Binam mamboo
Anasema a nataka kufundisha chuo
huenda wewe hukuelewa nicky alimaanisha nini ktk mistari yake,
alikua na lengo la kuwapa nguvu vijana wa mtaani ambao elimu haikua bahati yao
wawe na mawazo mapya kwamba hata kama hawana vyeti, bado wangeweza fanikiwa ktk maisha.
., sasa!!
Kuna vijana walisha amini maneno yale.
How come yeye atafute ma p.h mbuzi ambayo hayana hata maana.
Kwanini asingetumia masters yake kuwapanga vijana mtaani kutumia vipaji vyao.??
Umenielewa?
1.Bachelor yake ni ya nini na alisomea chuo gani na ya miaka mingapi? GPA? 2.Masters alisomea nini na miaka mingapi na chuo gani?
3.Hiyo PHD ya nini na anasomea chuo gani?
Tukihoji sana tunaambiwa mahaters.
Bachelor Sociology - UDSM 2009
Masters Human resource Mgt - UDSM 2013
Phd - ???
Joto likipanda usihofu!Khe haya maswali yako mbona ya mitego hivyooo
Hongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.
Njoon huku tupambane.....
Yupo fast aisee
Bachelor Sociology - UDSM 2009
Masters Human resource Mgt - UDSM 2013
Phd - ???
Degree anazochukua hata uwe na ma phd hata 100 bado hakuna kitu,bora angechukua degree na phd za maana kama economics,accounts,IT etc
Don't panic ulove
Kama ni msomi nafikiri umeelewa situation.....
Huna haja ya kubishana....... kamata popcorn tucheze kwa furaha kuwa msomi kuna raha yake asikwambie mutu....
tatizo huyu dogo hajitambui,,
bado anajitafuta. Hajipati.
Ameimba hataki kazi, anataka kuwa boss ili aajiri watu.
Haoni kama anakiuka maneno yake.
He is not yet grown up.
SAD