Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Badala uulize wale ma prof. Wa ccm wameisaidia vip tz kwa elimu zao unauliza kwa nikki..

Wewe kama hukusoma alafu unategemea nikki asome kisha aitumie elimu yake kukukomboa wewe kijana wa mtaani,utasubiri mpaka jehova arudi..

Mi nadhani anasoma kwa ajiri yake yeye na familia yake na sio kwa ajiri ya mtu mwngne,na nadhan anakijua anachokitafta..

yaani mtu anadharau elimu
wakati hapa kila siku tunawaponda wanadhulumiwa kisa hawana shule
leo mtu anafanya docterote tunamcrush
kwa hili hapana jamani tumezidi chuki lloooh
 
Hongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.

Njoon huku tupambane.....
 
huenda wewe hukuelewa nicky alimaanisha nini ktk mistari yake,
alikua na lengo la kuwapa nguvu vijana wa mtaani ambao elimu haikua bahati yao

wawe na mawazo mapya kwamba hata kama hawana vyeti, bado wangeweza fanikiwa ktk maisha.


., sasa!!
Kuna vijana walisha amini maneno yale.
How come yeye atafute ma p.h mbuzi ambayo hayana hata maana.

Kwanini asingetumia masters yake kuwapanga vijana mtaani kutumia vipaji vyao.??

Umenielewa?

phD Mbuzi?
 
1.Bachelor yake ni ya nini na alisomea chuo gani na ya miaka mingapi? GPA? 2.Masters alisomea nini na miaka mingapi na chuo gani?
3.Hiyo PHD ya nini na anasomea chuo gani?

Bachelor Sociology - UDSM 2009
Masters Human resource Mgt - UDSM 2013
Phd - ???
 
Tukihoji sana tunaambiwa mahaters.

Kweli acheni chuki Nikki aliajiriwa kabisa tangu amalize chuo 2009 lakini nadhani aliacha kazi .. ila sina uhakika ndo akaamua kuimba sitaki kazi.

Ila kunakipindi hata shows kama fiesta alikuwa ahudhurii akisema kuwa mwajiri wake anambana hana muda wa kufanya show.

Btw Weusi ni kampuni pia iliyosajiliwa may be ndio kaamua kujiajiri kwa mtindo huo maana sanaa nayo ni ajira tena inayoweza kutoa ajira kwa wengine kama dancers,managers n.k
 
Hivi kuna watu kusikia Nikki anaenda kusoma phD roho zinauma sana

Acheni wivu na majungu Watanzania wenzangu tusioenda shule!!!!
 
Hongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.

Njoon huku tupambane.....

Kwani lazima asome hizo jamani. Si kila mtu na choice yake.
 
Yupo fast aisee

Fast since 2009-2013 hapo tuseme labda alianza masyers 2011 mwishoni au 2012 bora yeye alikuwa na muda wakuifanyia kazi hiyo Sociology yake maana alikuwa anafanya kazi kampuni fulani ... je wale wanaomaliza chuo let say 2013 na mwaka huohuo 2013 anaanza Masters huyo si ndo wamapambo
 
Wengi humu mnaoponda ina maana hamjui kazi ya sanaa? Hamjui Nikki ni Msanii kwahiyo tuseme Ferooz kyimba wimbo wa Starehe yeye ni muhuni ki uhalisia?? Griti sinker
 
Degree anazochukua hata uwe na ma phd hata 100 bado hakuna kitu,bora angechukua degree na phd za maana kama economics,accounts,IT etc

So far hao wenye Phd za maana wameishia wapi kuwa wanaisasa??? Wapi Prof Lipumba,Mwakyembe N.k
 
Don't panic ulove

Kama ni msomi nafikiri umeelewa situation.....

Huna haja ya kubishana....... kamata popcorn tucheze kwa furaha kuwa msomi kuna raha yake asikwambie mutu....

Bhaelezeeee no wonder watamponda hata Nyerere kuwa alisomea Ualimu
 
Last edited by a moderator:
tatizo huyu dogo hajitambui,,
bado anajitafuta. Hajipati.

Ameimba hataki kazi, anataka kuwa boss ili aajiri watu.

Haoni kama anakiuka maneno yake.

He is not yet grown up.

SAD

We unaejitambua una nini?
 
Back
Top Bottom