Nikiamka namna hii aisee siku huenda vizuri sana

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Bila shaka mu bukher wa Afya wana Jf.

Mi binafsi namshukuru Mungu kwa afya njema

Mi napenda sana nikiamka basi simu yangu iwe

Full Charge..

Iwe na Bando la Kutosha (Dakika na Gb)

Mtandao uwe na kasi

basi siku yangu huenda vizuri sana maana 80% ya utafutaji wangu upo online..


Muwe na week end Njema
 
VPN?
 
Tecno Yako Leo Umeijaza Yote Inapumua Kwa Jeuri
 
Salio lenyewe ni 242
 
Yote hayo afu mfukoni empty aisee hayana maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…