Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

Aiseeee ukisema sana wanakuita kafiri, ukizidi zaidi wanakusomea sijui aliyebadili au kubadilisha nguo, bora wenyewe mmesema sisi hatutaki mauzauza.
 
Tangazo la wale majuha la BAKWATA limenifanya mimi kama muislam nimshukuru marehemu baba yangu kwa kuniwezesha kupata elimu ya kutosha ya dini na dunia kuweza kuchanganua haki na batili bila kuhofia tumbo langu.

Pia limenifanya nihakikishe nawasomesha wanangu elimu zote mbili za dini na dunia ili wasiishie kuwa wapumbavu kama wale Masheikh Ubwabwa wa BAKWATA.
 
Tutolee pumbu zako zenye shombo hapa,wewe mwenyewe ni kilaza tu humu jamvini sembuse hao mashekhena ubwabwa
I wonder!
 
Ogopa sana mijitu inayoua wenzao kwa jina la Allah.

Followers wa Mudi huwa ni vilaza.

Kule Nigeria 🇳🇬 na Sudan 🇸🇩 yanaua raia kama kuku, wanataka nchi yote iwe ya kiislamu.

Makobazi shida sana dunia hii.
 
Ndugu mleta mada usiumie sana. Wengi wanajua kuwa BAKWATA haikuanzishwa na waislam, na haipo kwaajili ya waislam. BAKWATA ilianzishwa na TANU kwaajili ya kuwapumbaza waislam kwa maslahi ya TANU na sasa ni kwaajili ya maslahi ya CCM. BAKWATA inafanya kazi kwa maelekezo ya manyang'au ya CCM. Wanachotakiwa kufanya waislam ni kuikataa kabisa BAKWATA, waendelee na taasisi zao nyingine, siyo matapeli.
 
Busara haihitaji imani/dini ya mhusika.

Kuipenda Tanzania na kuitakia mema hakuhitaji imani/dini ya mhusika.

Elimu na kuwa na uelewa hakuhitaji imani/dini ya mhusika

Kwa hiyo, binafsi nadhani hawa wazee wa BAKWATA hawana tofauti yoyote na watu kama Madilu Nchemba, Ph.D.; Kabuti Kalamaganda, Ph.D.; Tulia Ackson, Ph.D. Emmanuel Nchimbi, Ph.D.; Stephen Wassira; Peter Kayanza Pinda,...na wengi wengine.

Hawa wooote, wanaona maovu yanayotendeka dhidi ya wananchi, lakini kwa sababu za maslahi yao wanakubali kutumika na kuliumiza taifa
 
HAPANA.

BAKWATA haikuanzishwa kwa sababu za "kuwapumbaza waislam..."

Matamshi/maandishi ya namna hii ndio upotoshaji unaotumiwa na watu wasiolitakia mema taifa hili.

Kushindwa kwa viongozi wa nchi kuwaweka pamoja waTanzania katika umoja na undugu kisiwe ndicho kisingizio cha BAKWATA kugeuka na kuwa kinyume na sababu za uwepo wao.

Kilicho kuwa kikiepukwa enzi zile, sasa ndicho kinachokumbatiwa na BAKWATA; kwa sababu ya uongozi mbaya wa nchi.
 
Ponda amewafuta machozi
 
Bakwataccm kumejaa mazwazwa majuha watupu hakuna binadamu pale
 
Kobaz hawanaga elimu ! Tuwasamehe tu ! Wao ni madrasa tu! Wana uelewa mdogo sana khs hii dunia ya kawaida tunayoishi !

Swali dogo, nitajie sehemu yoyote Tanzania hii ambayo hawa jamaa wameenea/wapo wengi alafu kuna maendeleo
Wanachojua ni majungu fitna uchawi kufuga majini
 
Ushawahi ona ngumbaru anaelewa hoja wewe kuna hoja gani ya maana unayotoa zaidi ya mipasho tu?
Inaonekana hata maana ya mipasho hujui.

Niambie lipi walilo ongea hao BAKATWA ni la uongo ?

Mbona unakuwa kichwa maji namna hiyo ? Acha mihemko huwezi badili ukweli kwa kuhemka hemka.
 
Kobaz hawanaga elimu ! Tuwasamehe tu ! Wao ni madrasa tu! Wana uelewa mdogo sana khs hii dunia ya kawaida tunayoishi !

Swali dogo, nitajie sehemu yoyote Tanzania hii ambayo hawa jamaa wameenea/wapo wengi alafu kuna maendeleo
Kwanza Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…