Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

Inaonekana hata maana ya mipasho hujui.

Niambie lipi walilo ongea hao BAKATWA ni la uongo ?

Mbona unakuwa kichwa maji namna hiyo ? Acha mihemko huwezi badili ukweli kwa kuhemka hemka.
Bakwataccm hawana point na pia wana history ya kuwa Tegemezi kwa maccm hakuna wa kuwaamini zaidi ya machawa pekee
 
Bakwataccm hawana point na pia wana history ya kuwa Tegemezi kwa maccm hakuna wa kuwaamini zaidi ya machawa pekee
Jikite kwenye mada, Bakwata wanajulikana Wana udhaifu huo, lakini katika hayo waliyo yaongelea lipi au yapi ni ya uongo ?
 
Mimi sio muislamu lakini tuwapuuzie Hawa mashehena
Lengo lao ni kutugawa kidini.
Tuwe na akili finyu kama kina THE BIG SHOW
 
Hakuna kiumbe anae weza kufuga majini.

Kingine hakuna washirikina kuwazidi Wakristo. Huenda hujui maana ya Ushirikina.

Kumuabudu Yesu badala ya Mola muumba huo ni USHIRIKINA.
Kumwabudu Mwarabu kuongea lugha yake wakati Mwarabu ni mtu mshenzi asiye na utu anayejilipua na mabomu huo ndiyo ushirikina mkubwa , wood ubani haviishi kwa mashehe majini ubwabwa
 
Kumwabudu Mwarabu kuongea lugha yake wakati Mwarabu ni mtu mshenzi asiye na utu anayejilipua na mabomu huo ndiyo ushirikina mkubwa , wood ubani haviishi kwa mashehe majini ubwabwa
Huna hoja.
 
Jikite kwenye mada, Bakwata wanajulikana Wana udhaifu huo, lakini katika hayo waliyo yaongelea lipi au yapi ni ya uongo ?
Kusema Amani kwanza kisha haki, amani haiwezi kuanza ikadumu kama hakuna haki
 
Hao wote watauliwa
 
Huna hoja.
Hoja ni Bakwataccm kutambua uchaguzi wa maigizo kutoa pongezi kwa wizi wa kura kisha kuwalaumu vijana kufanya vurugu wakati vurugu zilikuja baada ya hasira za kupigwa Risasi watu waliokuwa majumbani
 
Unaijua haki yako ni ipi na haki yako kwa kiongozi wako ni ipi ?

Pasipokuwa na amani haki yako utaipata vipi ?
Haki zilianza ndipo Amani tawala zilizopita zilikuwa na Haki ndipo Amani ikawatawala, utawala wa sasa ni wa Kidikteta hakuna haki Polisiccm wanateka wanaua wanawabambikia watu kesi za uongo, Bakwata ya ccm wapo kimya hawajawahi kukemea hilo
 
Kwanini unaandika uongo ? Hali ni nini ? Unapataje haki sehemu ambayo hakuna amani ?

Kwenye amani ndio mambo mengine hufata.
 
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm bπŸ“ŒπŸ”¨πŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏ
 
Pia Bakwata ya ccm hawana watu wa kuwashauri bali huandikiwa kila kitu na ccm kazi yao ni kusoma tu
 
Kwanini unaandika uongo ? Hali ni nini ? Unapataje haki sehemu ambayo hakuna amani ?

Kwenye amani ndio mambo mengine hufata.
Haki ndiyo hupanga sheria za utulivu kama hakuna haki sheria Amani itasimama kwa utaratibu upi? Haki ni muhimu sana ingawa wewe mtekaji muuaji na mpenda kesi kesi za uongo huwezi kujua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…