Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

Tatizo watesi wengi wapo Bakwata ya ccm kwani ndiyo huwafanyia visomo Dua watesi wa ccm,Wamejitoa fahamu zote hawataki kuona Haki inakuwepo ili waendelee kula pesa za ccm, wanajua Haki ikiwepo hawana kisingizio cha kutafuna pesa za maccm
 
Haki ndiyo hupanga sheria za utulivu kama hakuna haki sheria Amani itasimama kwa utaratibu upi? Haki ni muhimu sana ingawa wewe mtekaji muuaji na mpenda kesi kesi za uongo huwezi kujua hilo
Ukatafute haki Ukraine, Palestine au DRC goma!?..unatafuta amani kwanza, pakiwa na amani ndiyo mnaanza kutafuta haki
 
Hayo mazee yote yaliyokaa hapo yamepewa Pesa nyingi sana ili kukubali kusoma walichoandikiwa na maccm ni Aibu kubwa sana
 
Bakwataccm ifumuliwe isukwe upya inatia aibu waislam
 
Inaonekana hata maana ya mipasho hujui.

Niambie lipi walilo ongea hao BAKATWA ni la uongo ?

Mbona unakuwa kichwa maji namna hiyo ? Acha mihemko huwezi badili ukweli kwa kuhemka hemka.
Hivi akili hua mnazivua mkiingia Masjid au kwamba hao mbumbumbu wasiojua maana ya Haki na Amani ndio wa kufananisha na mimi,hope hata wewe ni zumbukuku sana kama unadai hao masheikh waliosema Inaanza amani ndio inafuata Haki katika mtiririko wa muongozo wa Taifa basi pasi na shaka nyie vilaza hamjui hata Solomon Wisdom!
Kajambe masjid huko tahira weye!
😁😁😁
Busu la Kenge
 
Bakwata ya ccm ni janga la kitaifa
 
Wanaleta udine kwenye damu za watu kwanza huyo alietoa tamko nikudeal nae D9
 
wewe ni Mgalatia
 
Utakuwa mjamzito wewe!
 
Yafauatayo ni matawi ya kijani,bakwataccm,polisiccm,uvccm,
 
Sheikh unajiskia kinyaa kwa sababu ya matendo ya mtu mwingine? Sheikh unakufuru sana.

Kuna mzee nimemskia anasema BAKWATA ilianzishwa na kanisa katoliki ili kuwadhibiti waislamu... Ukifikiria hii kitu utajua kwann bakwata kila siku wanatoa boko
 
Bakwata ni Jumuiya ndani ya CCM kama ilivyo UVCCM na kazi yake ni kuwaghilibu Waislam ili waiunge mkono CCM hata kwenye mambo ya kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…