Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

Yote hayo yamebebwa kwenye ile laana ya utakula kwa jasho, kumbuka kula ni kila siku haina mapumziko, kwa asili mwanaume ni mtafutaji sasa huwezi kumlinganisha na yule mwenzie aliyeambiwa hakika nitakuzidishia uchungu wako wa kuzaa, ni laana ya msimu tu kwenye utafutaji sio petu,
 

Mwanamke kufanya Kazi kwàke siô Laana Bali ni ibada.

Mwanaume kufanya Kazi NI ibada lakini pia ni Laana kwani lazima ale Kwa jasho yàani ahangaike
 
Mwanamke kufanya Kazi kwàke siô Laana Bali ni ibada.

Mwanaume kufanya Kazi NI ibada lakini pia ni Laana kwani lazima ale Kwa jasho yàani ahangaike
Tunazungumzia sifa ulizotaja mwenye mada, mwanaume zinamkaa vyema sababu ni asili kutoka kwenye laana, mwanamke hakuambiwa kula kwa jasho.....automatically anakosa sifa, hiyo ibaada inayomfanya akipata amdharau mumewe!!! Ibada gani hiyo labda ya kuzimu

Kimsingi naungana na hoja yako mwanaume yuko maili milioni mbele ya mwanamke katika yote uliyoeleza hasa huduma kwa wateja na nani idadi ya wanufaika wa hilo jasho lake,
 
Tatizo linakuja pale unaweka msimamo mara ghafla unamwona mmama yupo dukani na binti ake Mzuti hlf anakuambia....

Njoo mkwe wangu tuongee, au yule binti na macho yake mazuri na t*ko anakuambia njoo kaka mzuri

UTANUNUA TU HATA UKIBISHA HAPA...
 
Hilo #5 ni hakika na ukweli mtupu. Mwanamke hata kama ni mwajiriwa Serikalini au Sekta binafsi na ameolewa(Ni mke wako) bado atasubiri au kudai matumizi kutoka kwa mume na hatojali kwamba wewe mume unabangaiza e.g. vibarua n.k. na kuna siku unaambulia patupu. Wanawake huwa wana ghubu sana, hawaishi kulalamika na hawaridhiki na kile wanachojaliwa kupata.
 

Sahihi Kabisa
Na Mimi nikaongeza kufanya Kazi siô lazima ule Kwa jasho.
Kwamba Mwanamke ataendelea kufanya Kazi lakini siô Kwa kuhangaika kama Mwanaume.

Hata Kabla ya kuanguka dhambi Mwanamke na Mwanaume wôte walikuwa wanafanya Kazi Kwa sababu Kazi NI ibada.
Semà walikuwa hawavuji jasho(hawahangaiki)
 
9. Wanawake wengi (sio wote) wanadhani kila mwanaume kazi yake kubwa na ya kwanza hapa duniani ni kuwatongoza wanawake. Kwa dhana hiyo potofu ukienda kununua kwake(Kumuungisha) yeye cha kwanza atakachoona ni kwamba wewe umejisogeza karibu naye na unalengo la kuanzisha mahusiano. Ndo mana wanawake wanaotoa Huduma ni wafuatiliaji sana na hutunza kumbukumbu za wateja wageni wanaoingia sokoni. Hili linaenda sambamba na ile namba 3 . " .......Wanawake wengi mtazamo waô ni kuwa mwonekano na mvuto wao ndîo utakaoleta wateja".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…