Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

Mkuu naona upo defensive zaidi kuliko kusoma na kunielewa..

Sipingi unachokisema Ila kutumia specific group ambayo kwa kiasi kikubwa haiendani na maada unayosema kutengeneza general conclusion sio sawaa..

Nimeishi maisha yangu mengi katika neighbourhoods za kawaida ambao hao wanawake wanatokea. Najua hustles na struggles zao pia

Yani hiyo mada labda ungeongelea professional works ambazo wanawake wengi ni modern tofauti na hao wa masokoni ambao wengi ukiwauliza feminism hawaijui zaidi ya traditional values walizokuzwa nazo. Mada yako yaweza kuwa sawa Ila sample ya wanawake wapambanaji uliyoitumia sio sawa

Na kingine nachokiona ni kama upo kutetea "brotherhood" ambao kunakulimit kukubaliana na exceptions katika maandiko yako.

Ni sawa hapo unapotetea kuwa wanaume wapewe kipaumbele kwenye manunuzi kama bread winners kwa sababu hiyo sio traditional role ya wanawake ambao wao hawahudumii familia. Na hapo hapo bado unasema ni ngumu mwanamke kulea watoto wa wenzie finanacially na wakati kwa kiasi kikubwa wengi halikuwa jukumu lao. Wangewezaje sasa kulea na wakati financially wanawategemea wanaume. Yani labda uwaseme kwenye ubaguzi wa kimalezi lakini sio kutoa matumizi kwa sababu socially halikuwa jukumu lao

Hivyo naona una mkanganyiko wa kujua mstari uliopo kati ya dunia iliyopita na ya sasa na vipi unaweza blend mabadiliko yake ili utoe analysis iliyoshiba

Sio tu kwa kufurahisha "brotherhood" Ila kwa kuongea analytical pasipo bias ambayo naiona kwenye bandiko lako

Mkûu brotherhood ndîo mfumo thabiti Kwa Dunia
 
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO:

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na Mwanaume Basi nitaenda kununua bidhaa Kwa mfanyabiashara Mwanaume.

Juzi jumatatu nilienda Mabibo Sokoni kuhemea mahitaji ya Nyumbani. Nilipofika kama kawaida yàngu nikaanza mahitaji yàngu . Sasa kumbe kûna mwanamama mmoja alikuwa akinifuatilia, nilipofika Eneo la matunda, ndizi, àmbapo Yule Mama yupo, nikaenda Karibu yake na kununua ndizi kwa kijana aliyejirani yake. Nilipomaliza nikashangaa Yule Mama ananitania;
"ñàona unawaungisha Wanaume Wenzako tuu"
Nikashtuka.
Nikamwambia hamna.
Akaniambia hii ni mara ya tatu toka nimekuona soko hili. Ukifika unanunua Kwa Wanaume.

Nikabaki nashangaa Moyoni nikisema kumbe kûna Watu wanafuatilia nyendo zangu nikifika Hapa Sokoni.
Akaendelea, hivyo viazi Ulaya umechukulia Kwa Yule Mzee pale, hivyo vitunguu na karoti kule Kwa Masai, hizô Nyanya nimekuona pale Kwa Juma, Hilo papai pekee tuu ndîo umenunua Kwa Mwanamke. Ila Vitu vyote vilivyobaki umenunua Kwa Wanaume wenzako.

Wauzaji wengine na Watu wakawa wanashangaa, Mimi nikasema siô kweli lakini muuzaji wa ndizi akawa ananitetea kuwa kwani kuna shida gàni Mimi kufanya hivyo. Mimi nikaondoka zangu.

Zifuatazo ni sababu zinazonifanya mara nyingi nikienda Sokoni au kwèñye Maduka kuwaungisha Wanaume kuliko Wanawake;

1. Huduma Bora.
Hapana Shaka Wanaume wengi wanajua Kutoa huduma nzuri kuliko Wanawake Karibu Kwa kîla sekta.
Kauli nzuri Kwa wateja. Wanaume wana- customer care nzuri kuliko Wanawake.

2. UPEO NA UELEWA.
Wanaume wengi wanaupeo Mkubwa kuliko Wanawake linapokuja Swala la Bidhaa au huduma.
Unaweza kujaribu kupata msaada hata Tanesco customer Care utagundua kuwa Wanaume wanajua Vitu vingi kuliko Wanawake.

Ûkienda kununua labda Simu au redio au TV au Fridge. Mwanamke hawezi kukupa maelezo mazuri yaliyonyooka kama Mwanaume.

3. Mwanaume anamtazamo Bora kuliko Mwanamke katika biashara.
Mwanaume anajua huduma yake nzuri ndiyo itakayompa wateja lakini Wanawake wengi mtazamo waô ni kuwa mwonekano na mvuto wao ndîo utakaoleta wateja.
Hii inafanya Wanawake Kuwekeza Ñguvu nyingi kwèñye mwonekano waô kuliko ujuzi na Kutoa huduma Bora Kwa wateja.

4. Wanawake wengi Wana Kasumba Mbaya.
Wanawake wengi wanatoa huduma Kwa kuangalia mwonekano wa mteja lakini pia Kulingana na mteja jinsi atakavyoonyesha uwezo wake.
Hii ni tofauti na Wanaume wengi ambao huhudumia mteja yeyote na kumpa huduma nzuri Bila kujali mwonekano wake.

5. Pesa ya Mwanaume ni Pesa ya jamii lakini Pesa ya Mwanamke mara nyingi huwa Yake na Watoto wake tuu.
Nikimuungisha Mwanaume ninauhakika jamii yôte imepata Pesa akiwemo Mwanamke lakini nikimuungisha Mwanamke kûna Asilimia kûbwa hiyo Pesa asiipate Mwanaume. Kwani kwèñye jamii Pesa ya mwanamke ni ya Mwanamke na Pesa ya Mwanaume ni yawote.
Hiyo inanifanya Bora nikamuungishe Mwanaume ili familia na jamii ipate Pesa.

6. Kuimarisha Familia na Ndoa.
Kadiri Mwanaume anavyofanikiwa ndivyo familia yake inavyoimarika na kustawi na Mke wake anazidi Kumpenda na kujivunia kuwa na Mume mwenye mafanikio
Lakini kadiri Mwanamke anavyofanikiwa ndivyo uwezekano wa familia kuanguka unavyozidi kuwa Mkubwa.

Kwangu kumuungisha Mwanamke ni kama kumpa Ñguvu na ya kuivunja Ndoa na familia yake.

7. Wanawake wengi wanadharau wakifanikiwa.
Simuungishi Mwanamke kutokana na tàbia zào za kudharau Wengine. Hasa pale wanapokuwa wamefanikiwa.
Nimeshawaona wengi. Hawaishii tuu kudharau Waume zao Bali hata kudharau Wanaume wôte Maskini waliopo mbele Yao.

Kudharau Wanawake wenzao.
Wanawake wengi siô kwamba wamefanikiwa kivile. Labda anakibiashara chake kinamuingizia labda Milioni Moja hizô dharau kwèñye jamii atakazozionyesha siô pouwa. Ndîo maana Sisi Watibeli tunajua nini chakufanya kwèñye Kesi za kibiashara.

Mwanamke anafanya biashara na anapata Pesa lakini hataki kuchangia pato la Nyumba yake anamuachia Mumewe kîla kitu. Sasa huyo unamuungisha wa Kazi gàni?

8. Analea Watoto pekeake alafu anawapa Sumu ili waje wamtukane Baba Yao.
Wanaume sisi tunalea Watoto na hata Siku Moja hatujawahi kuwaambia Watoto wetu wawadharau Mama zào, au hatuwezi kuwaambia Watoto kuwa Siku mkifanikiwa msisaidie Mama zenu.
Lakini Wanawake wengi wanaolea Watoto waô wènyewe Kwa kutelekezewa Watoto huwapandikiza Sumu Watoto waô kuwachukia Baba zào.

Mimi Taikon nikisikia mwanamama analalamika kuhusu kulea Watoto wake mwenyewe na kumlaumu Mwanaume aliyemzalisha huyo Bidhaa Zake au huduma Zake siwezi kumuungisha.

Mpaka Ile dhana potofu itakapoondoka Kwa Wanawake kuwa jukumu la Maisha Yao lipo Kwa Wanaume.
Mwanamke lazima ajue Maisha yake Yapo juu yake mwenyewe. Lazima Afanye Kazi.
Asimtegemee Mwanaume Kwa sababu akishamtegemea lazima awe na Sumu ya Lawama.
Awe na uwezo wa kulea Watoto wake atakaowazaa mwenyewe hata kama Siku Mumewe wakiachana íwe Kwa talaka au Kwa KIFO.

Ukizaa Watoto ni jukumu lenu wôte wawili kuwalea Watoto hao. Wôte Kwa pàmoja.

Kama ilivyo Kwa Sisi Wanaume tukiachiwa Watoto hatuwezi kuhitaji msaada wa Pesa au mahitaji Kutoka Kwa Mama wa Watoto ndivyo hivyohivyo Wanawake wawe hivyo.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Pia wanawake Wana kipato kingine kutoka Kwa side chicks za maduka Yao ya Jumla.

Naunga mkono hoja
 
Wanawake wengi wana inferiority complex haswa wakiwa katika ngazi za maamuzi. Maana wengi huhisi akiwa kawaida watu watamchukulia pia kwa sababu ya jiska yake ndio maana wengi wenye hizo insecurities, kitu kidogo ata over react ili tu aogopwe

Ila wapo waliopo cool

Yeah Upo Sahihi Kabisa

Na hao waliopo cool ni wachache Sana.

Ukitaka kuona Jambo Hilo tazama vyombo vya Habari na Wanawake mashuhuri kupata walio cool licha ya mafanikio Yao ni Moja Kwa Mia moja
 
Juzi niliingia tuna la pembejeo kununua sawa za mazao
Nikamkuta mdada mrembo wala hakujali
Akawa anachat na kucheka ananijibu bei kama nakopa
Nilimpa tusi la kumany.ok.o
Nikaenda duka lingine
Kimsingi mawanawake ni majinga,Yana dharau na hayajui biashara,japo wapo wanaume wachache wajinga wa hivyo pia.

Hao hawajali Kwa sababu anajua atapata hela ya jamii kutoka Kwa mwanaume anaemtaka au aliyemuoa.
 
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO:

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na Mwanaume Basi nitaenda kununua bidhaa Kwa mfanyabiashara Mwanaume.

Juzi jumatatu nilienda Mabibo Sokoni kuhemea mahitaji ya Nyumbani. Nilipofika kama kawaida yàngu nikaanza mahitaji yàngu . Sasa kumbe kûna mwanamama mmoja alikuwa akinifuatilia, nilipofika Eneo la matunda, ndizi, àmbapo Yule Mama yupo, nikaenda Karibu yake na kununua ndizi kwa kijana aliyejirani yake. Nilipomaliza nikashangaa Yule Mama ananitania;
"ñàona unawaungisha Wanaume Wenzako tuu"
Nikashtuka.
Nikamwambia hamna.
Akaniambia hii ni mara ya tatu toka nimekuona soko hili. Ukifika unanunua Kwa Wanaume.

Nikabaki nashangaa Moyoni nikisema kumbe kûna Watu wanafuatilia nyendo zangu nikifika Hapa Sokoni.
Akaendelea, hivyo viazi Ulaya umechukulia Kwa Yule Mzee pale, hivyo vitunguu na karoti kule Kwa Masai, hizô Nyanya nimekuona pale Kwa Juma, Hilo papai pekee tuu ndîo umenunua Kwa Mwanamke. Ila Vitu vyote vilivyobaki umenunua Kwa Wanaume wenzako.

Wauzaji wengine na Watu wakawa wanashangaa, Mimi nikasema siô kweli lakini muuzaji wa ndizi akawa ananitetea kuwa kwani kuna shida gàni Mimi kufanya hivyo. Mimi nikaondoka zangu.

Zifuatazo ni sababu zinazonifanya mara nyingi nikienda Sokoni au kwèñye Maduka kuwaungisha Wanaume kuliko Wanawake;

1. Huduma Bora.
Hapana Shaka Wanaume wengi wanajua Kutoa huduma nzuri kuliko Wanawake Karibu Kwa kîla sekta.
Kauli nzuri Kwa wateja. Wanaume wana- customer care nzuri kuliko Wanawake.

2. UPEO NA UELEWA.
Wanaume wengi wanaupeo Mkubwa kuliko Wanawake linapokuja Swala la Bidhaa au huduma.
Unaweza kujaribu kupata msaada hata Tanesco customer Care utagundua kuwa Wanaume wanajua Vitu vingi kuliko Wanawake.

Ûkienda kununua labda Simu au redio au TV au Fridge. Mwanamke hawezi kukupa maelezo mazuri yaliyonyooka kama Mwanaume.

3. Mwanaume anamtazamo Bora kuliko Mwanamke katika biashara.
Mwanaume anajua huduma yake nzuri ndiyo itakayompa wateja lakini Wanawake wengi mtazamo waô ni kuwa mwonekano na mvuto wao ndîo utakaoleta wateja.
Hii inafanya Wanawake Kuwekeza Ñguvu nyingi kwèñye mwonekano waô kuliko ujuzi na Kutoa huduma Bora Kwa wateja.

4. Wanawake wengi Wana Kasumba Mbaya.
Wanawake wengi wanatoa huduma Kwa kuangalia mwonekano wa mteja lakini pia Kulingana na mteja jinsi atakavyoonyesha uwezo wake.
Hii ni tofauti na Wanaume wengi ambao huhudumia mteja yeyote na kumpa huduma nzuri Bila kujali mwonekano wake.

5. Pesa ya Mwanaume ni Pesa ya jamii lakini Pesa ya Mwanamke mara nyingi huwa Yake na Watoto wake tuu.
Nikimuungisha Mwanaume ninauhakika jamii yôte imepata Pesa akiwemo Mwanamke lakini nikimuungisha Mwanamke kûna Asilimia kûbwa hiyo Pesa asiipate Mwanaume. Kwani kwèñye jamii Pesa ya mwanamke ni ya Mwanamke na Pesa ya Mwanaume ni yawote.
Hiyo inanifanya Bora nikamuungishe Mwanaume ili familia na jamii ipate Pesa.

6. Kuimarisha Familia na Ndoa.
Kadiri Mwanaume anavyofanikiwa ndivyo familia yake inavyoimarika na kustawi na Mke wake anazidi Kumpenda na kujivunia kuwa na Mume mwenye mafanikio
Lakini kadiri Mwanamke anavyofanikiwa ndivyo uwezekano wa familia kuanguka unavyozidi kuwa Mkubwa.

Kwangu kumuungisha Mwanamke ni kama kumpa Ñguvu na ya kuivunja Ndoa na familia yake.

7. Wanawake wengi wanadharau wakifanikiwa.
Simuungishi Mwanamke kutokana na tàbia zào za kudharau Wengine. Hasa pale wanapokuwa wamefanikiwa.
Nimeshawaona wengi. Hawaishii tuu kudharau Waume zao Bali hata kudharau Wanaume wôte Maskini waliopo mbele Yao.

Kudharau Wanawake wenzao.
Wanawake wengi siô kwamba wamefanikiwa kivile. Labda anakibiashara chake kinamuingizia labda Milioni Moja hizô dharau kwèñye jamii atakazozionyesha siô pouwa. Ndîo maana Sisi Watibeli tunajua nini chakufanya kwèñye Kesi za kibiashara.

Mwanamke anafanya biashara na anapata Pesa lakini hataki kuchangia pato la Nyumba yake anamuachia Mumewe kîla kitu. Sasa huyo unamuungisha wa Kazi gàni?

8. Analea Watoto pekeake alafu anawapa Sumu ili waje wamtukane Baba Yao.
Wanaume sisi tunalea Watoto na hata Siku Moja hatujawahi kuwaambia Watoto wetu wawadharau Mama zào, au hatuwezi kuwaambia Watoto kuwa Siku mkifanikiwa msisaidie Mama zenu.
Lakini Wanawake wengi wanaolea Watoto waô wènyewe Kwa kutelekezewa Watoto huwapandikiza Sumu Watoto waô kuwachukia Baba zào.

Mimi Taikon nikisikia mwanamama analalamika kuhusu kulea Watoto wake mwenyewe na kumlaumu Mwanaume aliyemzalisha huyo Bidhaa Zake au huduma Zake siwezi kumuungisha.

Mpaka Ile dhana potofu itakapoondoka Kwa Wanawake kuwa jukumu la Maisha Yao lipo Kwa Wanaume.
Mwanamke lazima ajue Maisha yake Yapo juu yake mwenyewe. Lazima Afanye Kazi.
Asimtegemee Mwanaume Kwa sababu akishamtegemea lazima awe na Sumu ya Lawama.
Awe na uwezo wa kulea Watoto wake atakaowazaa mwenyewe hata kama Siku Mumewe wakiachana íwe Kwa talaka au Kwa KIFO.

Ukizaa Watoto ni jukumu lenu wôte wawili kuwalea Watoto hao. Wôte Kwa pàmoja.

Kama ilivyo Kwa Sisi Wanaume tukiachiwa Watoto hatuwezi kuhitaji msaada wa Pesa au mahitaji Kutoka Kwa Mama wa Watoto ndivyo hivyohivyo Wanawake wawe hivyo.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Sahihi kabisa
 
Wewe jomba ni Team Kataa ndoa damdam. Hadi Karoti na Ngogwe unaenda kununua mwenyewe sokoni? Mabachela wenye dalili za kuoa ikitokea kujipikia watanunua tu unga, kitunguu, nyanya na mboga wanayotaka kupika (nyama, samaki nk.) Na sio kununua mazagazaga mengine.
 
Mara Mojamoja kwenda Sokoni siô mbaya Mkûu.
Ili kujua kile ambacho Mkeo anakipitia Huko Sokoni. Je Pesa unayompaga inatosha au inamchosha?

Au je anakuibia au saidia kukuwekea mambo sawa
 
Kweli kabisa wanaume wana huduma nzuri sana hata Buchani ✅✅✅✅❤️
 
Mwanaume unaweza mlaumu na ukamlalamikia kuhusu huduma yake na akakubali lakini usijejaribu hivyo Kwa ndugu zako(Wanawake wenzako)
mkuu, unajua wanawake ni dhaifu mbele ya mwanaume anayejiamini?

Mwanaume ukihudumiwa ndivyo sivyo na mtoa huduma mwanamke, ukimwakia, asilimia 99 ya wanawake huwa hawakujibu wanaanza kukuogopa. Sina experience tosha ya wanawake kwa wanawake wanavyohudimiana wao kwa wao
 
Hoja 5-8 zote kama ni weight 10/10. Nadhani nitakifanyia kampeni kwa masela wangu wote walitekeleze.

Sema wanaume wengi huwa tuna huruma kwa kudhani wanaweka wanateseka hivyo huamua kuwaunga mkono.

Ila ukweli ni huo, mwanaume “anamulitiplier” kubwa zaidi.
 
Mimi ni mwanamke ila nakuunga mkono kwenye point namba 5
Hata usiponiungisha sawa tuu....

Sipendi Mwanamke anayelalamika Kwa majukumu na wajibu wake.
Sasa kama Baba wa Mtoto hutumi Pesa za matumizi si umtunze mwanao.

Sisi Wengine tunakuwaga na maswali ya kimitego àmbayo Mtu akija kichwa kichwa anaweza jua amesifiwa.

Namuungisha Mwanamke anayetambua kuwa Maisha yake ni jukumu lake na siô jukumu la Mtu Mwingine
 
Back
Top Bottom