Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

😃😃

Mwanaume akifanikiwa heshima na Ndoa inazidi kuimarika na anazidi Kumpenda Mkewe.
Ila mwanamke akifanikiwa heshima Kwa Mumewe unashuka, Ndoa Inapasuka.

Ni Wanawake wachache wanaoweza kufanikiwa na kumheshimu mumewe
Kabisa Mkuu

Usifunguke sana, wasije Kataa Ndoa wakapata points za kuendelea kushikilia msimamo wao wa kuto Kuoa kisha hawa Wajukuu zetu wakakosa Waume bure 😜
 
Zifuatazo ni sababu zinazonifanya mara nyingi nikienda Sokoni au kwèñye Maduka kuwaungisha Wanaume kuliko Wanawake
Hali hii huitwa:

mtazamo

1.
namna ya kuangalia au kutazama kitu au mtu

2.jinsi mtu anavyochukulia au kufikiria jambo; mawazo ya mtu juu ya jambo fulani

Tatizo unapotulazimisha tuufuate, wewe ni:

dikteta

mtu mwenye tabia ya kutaka lifanywe lile analosema bila ya kupingwa

Juzi jumatatu nilienda Mabibo Sokoni kuhemea mahitaji ya Nyumbani
Halafu unaonekana una :

gubu

hali ya kutokuwako utulivu

Mwisho wewe ni :

limbukeni

mtu anayeanza kutumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza

 
Hili bandiko linafikirisha sana. Kiukweli hata Mimi ninapopiga let say huduma kwa wateja kwenye mitandao ya simu alafu nikapokelewa na mwanamke Huwa siridhiki kabisa ya majibu Yao.

Nadhani Huwa wanawekeza zaidi kwenye kuwa na mvuto wa kutamaniwa kuliko kwenye kuwa excellent service ya kutamaniwa.
 
Boss, Sasa kwanini ukawa mnafiki kwa huyo mama unamkatalia kuwa anasema uongo? Ungemwambia ndio na umpe sababu kama ulivyoileta hapa labda angepata la kujifunza. Unaacha kutatua tatizo sokoni unakuja kulieleza humu. Kwanini?

Sikuwa na sababu ya kumueleza Kwa sababu mbwa Mzee hafundishwi kubweka au kuwinda
 
Hili bandiko linafikirisha sana. Kiukweli hata Mimi ninapopiga let say huduma kwa wateja kwenye mitandao ya simu alafu nikapokelewa na mwanamke Huwa siridhiki kabisa ya majibu Yao.

Nadhani Huwa wanawekeza zaidi kwenye kuwa na mvuto wa kutamaniwa kuliko kwenye kuwa excellent service ya kutamaniwa.

Mara nyingi iko hivyo
 
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO:

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na Mwanaume Basi nitaenda kununua bidhaa Kwa mfanyabiashara Mwanaume.

Juzi jumatatu nilienda Mabibo Sokoni kuhemea mahitaji ya Nyumbani. Nilipofika kama kawaida yàngu nikaanza mahitaji yàngu . Sasa kumbe kûna mwanamama mmoja alikuwa akinifuatilia, nilipofika Eneo la matunda, ndizi, àmbapo Yule Mama yupo, nikaenda Karibu yake na kununua ndizi kwa kijana aliyejirani yake. Nilipomaliza nikashangaa Yule Mama ananitania;
"ñàona unawaungisha Wanaume Wenzako tuu"
Nikashtuka.
Nikamwambia hamna.
Akaniambia hii ni mara ya tatu toka nimekuona soko hili. Ukifika unanunua Kwa Wanaume.

Nikabaki nashangaa Moyoni nikisema kumbe kûna Watu wanafuatilia nyendo zangu nikifika Hapa Sokoni.
Akaendelea, hivyo viazi Ulaya umechukulia Kwa Yule Mzee pale, hivyo vitunguu na karoti kule Kwa Masai, hizô Nyanya nimekuona pale Kwa Juma, Hilo papai pekee tuu ndîo umenunua Kwa Mwanamke. Ila Vitu vyote vilivyobaki umenunua Kwa Wanaume wenzako.

Wauzaji wengine na Watu wakawa wanashangaa, Mimi nikasema siô kweli lakini muuzaji wa ndizi akawa ananitetea kuwa kwani kuna shida gàni Mimi kufanya hivyo. Mimi nikaondoka zangu.

Zifuatazo ni sababu zinazonifanya mara nyingi nikienda Sokoni au kwèñye Maduka kuwaungisha Wanaume kuliko Wanawake;

1. Huduma Bora.
Hapana Shaka Wanaume wengi wanajua Kutoa huduma nzuri kuliko Wanawake Karibu Kwa kîla sekta.
Kauli nzuri Kwa wateja. Wanaume wana- customer care nzuri kuliko Wanawake.

2. UPEO NA UELEWA.
Wanaume wengi wanaupeo Mkubwa kuliko Wanawake linapokuja Swala la Bidhaa au huduma.
Unaweza kujaribu kupata msaada hata Tanesco customer Care utagundua kuwa Wanaume wanajua Vitu vingi kuliko Wanawake.

Ûkienda kununua labda Simu au redio au TV au Fridge. Mwanamke hawezi kukupa maelezo mazuri yaliyonyooka kama Mwanaume.

3. Mwanaume anamtazamo Bora kuliko Mwanamke katika biashara.
Mwanaume anajua huduma yake nzuri ndiyo itakayompa wateja lakini Wanawake wengi mtazamo waô ni kuwa mwonekano na mvuto wao ndîo utakaoleta wateja.
Hii inafanya Wanawake Kuwekeza Ñguvu nyingi kwèñye mwonekano waô kuliko ujuzi na Kutoa huduma Bora Kwa wateja.

4. Wanawake wengi Wana Kasumba Mbaya.
Wanawake wengi wanatoa huduma Kwa kuangalia mwonekano wa mteja lakini pia Kulingana na mteja jinsi atakavyoonyesha uwezo wake.
Hii ni tofauti na Wanaume wengi ambao huhudumia mteja yeyote na kumpa huduma nzuri Bila kujali mwonekano wake.

5. Pesa ya Mwanaume ni Pesa ya jamii lakini Pesa ya Mwanamke mara nyingi huwa Yake na Watoto wake tuu.
Nikimuungisha Mwanaume ninauhakika jamii yôte imepata Pesa akiwemo Mwanamke lakini nikimuungisha Mwanamke kûna Asilimia kûbwa hiyo Pesa asiipate Mwanaume. Kwani kwèñye jamii Pesa ya mwanamke ni ya Mwanamke na Pesa ya Mwanaume ni yawote.
Hiyo inanifanya Bora nikamuungishe Mwanaume ili familia na jamii ipate Pesa.

6. Kuimarisha Familia na Ndoa.
Kadiri Mwanaume anavyofanikiwa ndivyo familia yake inavyoimarika na kustawi na Mke wake anazidi Kumpenda na kujivunia kuwa na Mume mwenye mafanikio
Lakini kadiri Mwanamke anavyofanikiwa ndivyo uwezekano wa familia kuanguka unavyozidi kuwa Mkubwa.

Kwangu kumuungisha Mwanamke ni kama kumpa Ñguvu na ya kuivunja Ndoa na familia yake.

7. Wanawake wengi wanadharau wakifanikiwa.
Simuungishi Mwanamke kutokana na tàbia zào za kudharau Wengine. Hasa pale wanapokuwa wamefanikiwa.
Nimeshawaona wengi. Hawaishii tuu kudharau Waume zao Bali hata kudharau Wanaume wôte Maskini waliopo mbele Yao.

Kudharau Wanawake wenzao.
Wanawake wengi siô kwamba wamefanikiwa kivile. Labda anakibiashara chake kinamuingizia labda Milioni Moja hizô dharau kwèñye jamii atakazozionyesha siô pouwa. Ndîo maana Sisi Watibeli tunajua nini chakufanya kwèñye Kesi za kibiashara.

Mwanamke anafanya biashara na anapata Pesa lakini hataki kuchangia pato la Nyumba yake anamuachia Mumewe kîla kitu. Sasa huyo unamuungisha wa Kazi gàni?

8. Analea Watoto pekeake alafu anawapa Sumu ili waje wamtukane Baba Yao.
Wanaume sisi tunalea Watoto na hata Siku Moja hatujawahi kuwaambia Watoto wetu wawadharau Mama zào, au hatuwezi kuwaambia Watoto kuwa Siku mkifanikiwa msisaidie Mama zenu.
Lakini Wanawake wengi wanaolea Watoto waô wènyewe Kwa kutelekezewa Watoto huwapandikiza Sumu Watoto waô kuwachukia Baba zào.

Mimi Taikon nikisikia mwanamama analalamika kuhusu kulea Watoto wake mwenyewe na kumlaumu Mwanaume aliyemzalisha huyo Bidhaa Zake au huduma Zake siwezi kumuungisha.

Mpaka Ile dhana potofu itakapoondoka Kwa Wanawake kuwa jukumu la Maisha Yao lipo Kwa Wanaume.
Mwanamke lazima ajue Maisha yake Yapo juu yake mwenyewe. Lazima Afanye Kazi.
Asimtegemee Mwanaume Kwa sababu akishamtegemea lazima awe na Sumu ya Lawama.
Awe na uwezo wa kulea Watoto wake atakaowazaa mwenyewe hata kama Siku Mumewe wakiachana íwe Kwa talaka au Kwa KIFO.

Ukizaa Watoto ni jukumu lenu wôte wawili kuwalea Watoto hao. Wôte Kwa pàmoja.

Kama ilivyo Kwa Sisi Wanaume tukiachiwa Watoto hatuwezi kuhitaji msaada wa Pesa au mahitaji Kutoka Kwa Mama wa Watoto ndivyo hivyohivyo Wanawake wawe hivyo.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Umeeleza Ukweli mchungu, japokuwa Nina imani kwamba utapata mashambulizi mabaya Sana kutoka kwa wahusika waliochomwa na Ukweli wako huo.
 
Huwa nanunua kwa wanawake kwa sababu wanaume masokoni au mabuchani huwa na tabia ya kuchukulia wanaume wenzao poa Ila wanajilegeza kwa wanawake

Ila mimi nikienda sokoni na nikakutana na wanawake watu wazima au wazee. Huwa ni rahisi kupata vitu vingi kwa bei nzuri kwa sababu mimi sio mchaguzi mzuri wa vitu lakini pia huwa naongea nao kiheshima kiasi huwa nikienda mara mbili tatu kuitwa "karibu mwanangu" Ni kawaida sana.

Halafu assumptions nyingi umeziweka generally sana pasipo kujua wengi hapo masokoni ni wanawake wenye hali duni. Ila wanajikurupusha saa tisa usiku ili wakapambanie goli,

hawa ni watu wenye option ya kujiuza au kutafuta ndoa ili wabweteke kirahisi Ila wanapambana kulisha na kusomesha familia zao.

Hawa sio slay queens mkuu na kama ushawahi kukaa uswazi ukaona hustle zao ungefuta point nyingi sana hapo. Maana wengine wana waume wanakunywa pombe tu na kuhonga vitoto vya 2000 pesa Ila mama ndio anasimamia familia.


Sisemi upo wrong Ila ulivyoandika naona kama umedogosha badala ya kuwaheshimu wanawake wapambanaji 🙏🏽
 
Huwa nanunua kwa wanawake kwa sababu wanaume masokoni au mabuchani huwa na tabia ya kuchukulia wanaume wenzao poa Ila wanajilegeza kwa wanawake

Ila mimi nikienda sokoni na nikakutana na wanawake watu wazima au wazee. Huwa ni rahisi kupata vitu vingi kwa bei nzuri kwa sababu mimi sio mchaguzi mzuri wa vitu lakini pia huwa naongea nao kiheshima kiasi huwa nikienda mara mbili tatu kuitwa "karibu mwanangu" Ni kawaida sana.

Halafu assumptions nyingi umeziweka generally sana pasipo kujua wengi hapo masokoni ni wanawake wenye hali duni. Ila wanajikurupusha saa tisa usiku ili wakapambanie goli,

hawa ni watu wenye option ya kujiuza au kutafuta ndoa ili wabweteke kirahisi Ila wanapambana kulisha na kusomesha familia zao.

Hawa sio slay queens mkuu na kama ushawahi kukaa uswazi ukaona hustle zao ungefuta point nyingi sana hapo. Maana wengine wana waume wanakunywa pombe tu na kuhonga vitoto vya 2000 pesa Ila mama ndio anasimamia familia.


Sisemi upo wrong Ila ulivyoandika naona kama umedogosha badala ya kuwaheshimu wanawake wapambanaji 🙏🏽
Mkuu mara nyingi Mimi naangalia matokeo ya jambo kuliko mchakato.
Mchakato hata úwe mzuri vipi. Hata Mwanamke apambane vipi kama matokeo yatakuwa Mabaya Kwangu hayana maana yoyote
 
Pesa za wanawake zina mchango kwenye familia mbona tena muda mwingine ndo zinakuwa mchango wa pekee.

Unaweza kuta kijana unaemuungisha analewa na kununua malaya tu.

Wewe nunua bidhaa kwa mwenye bidhaa bora bila kujali jinsia, hayo mengine yatakuchosha


Pesa ya mwanamke inamatumizi yanayomhusu yeye pekeake including Watoto wake kama Hana Mume.

Lakini Pesa ya Mwanaume inamatumizi lukuki.
Ndîo maana unashauriwa usioe kama mambo yako hayajakaa Vizuri Kwa sababu Mkeo, Watoto, Wazazi WA Mkeo, jamii ni jukumu lako
 
Mkuu mara nyingi Mimi naangalia matokeo ya jambo kuliko mchakato.
Mchakato hata úwe mzuri vipi. Hata Mwanamke apambane vipi kama matokeo yatakuwa Mabaya Kwangu hayana maana yoyote

Matokeo ni kitu unachoweza kukitabiri kwa sababu huna uwezo wa kujua kesho ni nini kitatokea. Kibaya cha utabiri huwa kinaangalia uhusiano wa jambo moja na jingine mfano mwanamke akipata pesa na kuzaliwa kwa kiburi lakini haimaanishi kila mwanamke anaepata pesa ana kiburi...

Lakini pia unapoongelea group flani lenye tabia fulani lazma uhakikishe unaijua deeply kuliko kutoa conclusion kuhusu specific group "wanawake wafanyabiashara wa masokoni" Kwa kutumia general characteristic "wanawake" Kupitia mtazamo binafsi ambao bila utafiti mathubuti hukosa uhalali wa kuongelea kimantiki na hata kufanya utabiri ambao pasipo data, hubakia kuwa ni mtazamo usio na mashiko.

Mfano tukisema bodaboda wanavunja ndoa za watu na hurubuni wanafunzi na housegirls kingono.. Je tuanze kutafuta boda za kike kwa sababu hawafanyi hivyo

Je, vipi kuhusu madaktari wa kiume wanaotembea na wake za watu au wauza chips ambao wanafanya mabaya kuliko hata madereva boda. Je tuamue kuwagomea na kula kwa wanawake ambao hawana hiyo negative impact ?...

Naelewa unachokifanya "brotherhood" Je, hiyo brotherhood una uhakika hiyo pesa unayowapa inaleta positive impact kama unavyosema
 
By nature Mwanamke ni Mbinafsi,
Na mwanamke ameumbwa kujiona yeye ni wamaana kuliko mwanaume au Binadamu yeyote, pia mwanamke ana Mentality ni WA umuhimu sana kua mwanaume bila mwanamke hawezi chochote.
Ktk Biashara Wana dharau sana wanawake Ili mwanamke akuhudumie vizuri labda uwe unamuachia Vichenji
 
Pesa ya mwanamke inamatumizi yanayomhusu yeye pekeake including Watoto wake kama Hana Mume.

Lakini Pesa ya Mwanaume inamatumizi lukuki.
Ndîo maana unashauriwa usioe kama mambo yako hayajakaa Vizuri Kwa sababu Mkeo, Watoto, Wazazi WA Mkeo, jamii ni jukumu lako

Tukubaliane mkuu, pesa ya mwanamke huwa inatumika kwa vitu muhim pekee na kwa watu anaowapenda ndio maana watu wengi hupenda watoto wa kike kwa sababu ni ngumu kusahau kwao. Mwanamke akipata pesa za kikoba atakumbuka kitu ambacho watoto wake hawana na pia nyumbani kwao kimekosekana nini, sio yeye atavaa nini au ampe mchepuko pesa. Ndio maana mama akienda kwenye sherehe anaweza kurudi na vitu kwa sababu hana ubinafsi wa starehe binafsi


Mwanamke ni nadra kula vyuku huku watoto wake hajui watakula nini, na hata akicheat, usishangae akaomba afungiwe chips nyama za wanae. Hivyo ndivyo mwanamke alivyo, watu anaowapenda huja kwanza. Huu sio ubinafsi ukiniuliza


Ukirudi kwa wanaume bro tuseme Tu ukweli. Baba wa familia anaweza kula bear, vyuku, supu na akawanunulia bar maids bia huku watoto wake wanakula maharage nyumbani

Huyo mtu unaempa pesa sokoni si ajabu akaenda kula vyombo na kujistarehesha na michepuko. Lakini familia hata pesa ya tution haina

Na ni maisha ya kawaida kabisa ndio maana nasema thread yako yaweza kuwa sawa lakini pia ikawa wrong kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom