Matokeo ni kitu unachoweza kukitabiri kwa sababu huna uwezo wa kujua kesho ni nini kitatokea. Kibaya cha utabiri huwa kinaangalia uhusiano wa jambo moja na jingine mfano mwanamke akipata pesa na kuzaliwa kwa kiburi lakini haimaanishi kila mwanamke anaepata pesa ana kiburi...
Mkûu kuhusu Swala la Mwanamke kupata Pesa na kubadilika ni Jambo ambalo limetokea Kwa Wanawake wengi Sana sio Tanzania tuu Bali Duniani.
Kiasili Wanawake wameumbwa na kiburi na dharau hasa wakiwa na Ûzuri na uwezo. Wanawake wasio na kiburi Wala dharau ni wachache Mno na hao NI exceptional na katika hao exceptional kûna àmbao kiburi chao wamekificha Kwa sababu tuu hawavutii, hawananguvu na Hawana Pesa.
Unapoambiwa mwanamke lazima aringe ndîo tafsiri halisi ya jeuri na kiburi
Lakini pia unapoongelea group flani lenye tabia fulani lazma uhakikishe unaijua deeply kuliko kutoa conclusion kuhusu specific group "wanawake wafanyabiashara wa masokoni" Kwa kutumia general characteristic "wanawake" Kupitia mtazamo binafsi ambao bila utafiti mathubuti hukosa uhalali wa kuongelea kimantiki na hata kufanya utabiri ambao pasipo data, hubakia kuwa ni mtazamo usio na mashiko.
Kûna mambo hayahitaji utafiti Mkuu.
Wanawake kwèñye suala la biashara unapozungumzia Kutoa huduma Bora Wanawake wengi hawawezi kutoboa mbele ya Mwanaume.
Hata hospital Wanawake wajawazito Asilimia tisini na tisa hutaka kuhudumiwa na Madaktari Wanaume. Hivyo ni Jambo la Kawaida Kabisa
Mfano tukisema bodaboda wanavunja ndoa za watu na hurubuni wanafunzi na housegirls kingono.. Je tuanze kutafuta boda za kike kwa sababu hawafanyi hivyo
😃😃
Mimi sijui kama bodaboda wanashutumiwa kuharibu Ndoa za Watu.
Tukienda hata ustawi au Mahakamani wanaotuhumiwa kutia Mimba au kubaka wengi waô siô bodaboda.
Sema Kwa vile labda kûna interaction kûbwa Baina ya bodaboda na watu(hasa Wanawake )Hali àmbayo inapelekea Watu kudhani wanatoka kingono sana na wanawake kuliko makundi mengine.
Je, vipi kuhusu madaktari wa kiume wanaotembea na wake za watu au wauza chips ambao wanafanya mabaya kuliko hata madereva boda. Je tuamue kuwagomea na kula kwa wanawake ambao hawana hiyo negative impact ?...
Mkûu kwèñye suala la mapenzi au ngono makundi yôte yanafanya vizuri.
Ila unachoeleza ni Kasumba Mbaya iliyopo kwèñye jamii kuwa ukifanya Kazi inayokukutanisha na Wanawake Basi unawala mademu wengi Kuliko makundi mengine Jambo ambalo halina uhalisia.
Naelewa unachokifanya "brotherhood" Je, hiyo brotherhood una uhakika hiyo pesa unayowapa inaleta positive impact kama unavyosema
Umechangia vizuri Sana.
Kama utachunguza hoja zangu utagundua kuwa Nilichoeleza kinaeleza uhûsiano wa Mwanamke kupata Pesa na mchango wake katika familia na Jamii.
Sijasema Mwanamke Hana mchango Nop!
Nimeeleza Mwanamke Pesa yake ni yake(wakiwemo Watoto lakini mtoe Mume)
Lakini Pesa ya Mwanaume ni ya jamii nzima.
Ndîo maana kûna mamilioni ya single mothers Duniani wanatunzwa na kusomeshewa Watoto waô na Wanaume.
NI nadra kukuta mwanamke Duniani anamtunza mume na Watoto WA kambo.
Duniani siô ajabu wasifike Wanawake Mia Moja Wanaofanya hivyo.
Au zîpo familia nyingi za Wanawake zinazotunzwa na Wanaume Kisa Binti Yao aliolewa.
Lakini ni nadra kukuta mwanamke akijenga Ukweni na Kûhudumia familia ya Mwanaume.