Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:


Sahihi Kabisa Mkuu
 
Tatizo linakuja pale unaweka msimamo mara ghafla unamwona mmama yupo dukani na binti ake Mzuti hlf anakuambia....

Njoo mkwe wangu tuongee, au yule binti na macho yake mazuri na t*ko anakuambia njoo kaka mzuri

UTANUNUA TU HATA UKIBISHA HAPA...
Mbona imeandikwa(Mwanzo.2:24) “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili moja”.?
 
We naye zoba ,pesa ni zako halafu unapangiwa matumizi na huyo malaya , ulitakiwa umpe jibu moja kama hivi " kapangie matumizi pesa za mmeo sio zangu "
 
Wanaume tunapitia struggles Kali kuliko katika maisha .
Maisha ya wanaume ni kama maisha ya mbwa koko .
Huwa na support sana efforts za wanaume ,
 
Kwenye hili nina mifano ya marafiki zangu wanne wa Kazini ambao wake zao pia ni Wafanyakazi

Pamoja na kwamba wake zao pia wanafanya kazi na kulipwa Mishahara lakini pesa ya Matumizi nyumbani kuanzia ya mboga hadi kulipia bill ya Maji analipa Mume.

Nilipata nafasi ya kuongea na Shemeji mmoja wapo, alisema Jukumu la kuhudumia familia ni la Mume kwahiyo mshahara wake ni wake pekee na Mume hana mamlaka nao 🙌
 
Ni shidaa. Imeandikwa tuishi nao kwa akili........(1Petro3:7).
 
Umeongea uhalisia kabisa mkuu. Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano kama mwezi sasa, juzi nikamuamsha awahi kazini kwa kusema ''amka ukatafute ada ya mwanetu atakayezaliwa hapo mbeleni'', (nilikuwa natania). Alijibu kimasihara tu that, ''kumbe na mimi natakiwa kutafuta ada?'' Kimoyomoyo nikacheka sana.
 
Wavaa kobazi wameambiwa na mudi ndugu wa mvaa kobazi ni mvaa kobazi mwenzake nami nasemaje ndugu wa mwanaume ni mwanaume,ndugu yangu ni mwanaume mwenzangu
 
Hata customer care ya mitandao ya simu, mimi nikiwa na tatizo nikipiga namba 100 ntahakikisha narudia rudia hadi nimpate mwanaume ndo namweleza shida.
 
mwamba Taikon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…