Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Njoo pm nitatatua tatizo lako! Nitakushauri na ukifanyia kazi ushauri wangu utakuja kunishukuru
Kama ni serious kwanini usiweke hapa mkuu wanufaike wote hata kwa baadae endapo hutakuwepo wataokuja jf wanufaike na ushauri wako.

Ikizingatiwa mtu akigoogle jambo mengine huwa wanayapata ya huku yaliyojadiliwa.
 
Yafuatayo yanawezekana
1. Its a psychological thing-yani umesha tune akili yako kwamba unaumia, kumbuka sex inaanzia kwenye ubongo wako

2. Its a spiritual thing
 
Una miaka mingapi?

Sawa, anakuandaa vizuri. Je, unaloana? Wakati wa kuingiza, unachukua muda gani kabla ya kuwa mkavu?

Nani alikutoa bikra? Uliridhia kabisa? Ama ni kumbukumbu mbaya za maumivu?

Maumivu haswa ni ya aina gani? Kunapokuuma ni wapi?

Kama ni umepima magonjwa na huna, basi tatizo lako ni la kisaikolojia. Akili ilishajijengea dhana ya maumivu katika kufanya ngono (najua hamjaona).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…